Wataandika hata kwa lugha zao
Kwa hiyo tukusaidiaje?Pigeni tu kelele hapa wakati Uganda is making entire country to be a city 😂 😂
Mi nasemaje...ldc haikua life sentence leo umeamini?Ilo bomba la wese kutoka Uganda kuja Tz linaweza kuwachomoa Waganda kwenye ldc nitapenda east africa yote tung'arePigeni tu kelele hapa wakati Uganda is making entire country to be a city![]()
![]()
Uganda "may" get out of LDC once they start exporting oil. For Tz congratulations for your new status, but you can go back to LDC like Sudan if you are not careful.Mi nasemaje...ldc haikua life sentence leo umeamini?Ilo bomba la wese kutoka Uganda kuja Tz linaweza kuwachomoa Waganda kwenye ldc nitapenda east africa yote tung'are
Hii haina kurudi...nyuma kwetu mwiko....sabab hata hapa hatutakiw kulala kwa utajir wa hii nchi tu...tunatakiwa tuwe pale walipo South AfricaUganda "may" get out of LDC once they start exporting oil. For Tz congratulations for your new status, but you can go back to LDC like Sudan if you are not careful.
There is a possibility. Remember your birth rate is much higher compared to your economic growth.Hii haina kurudi...nyuma kwetu mwiko....sabab hata hapa hatutakiw kulala kwa utajir wa hii nchi tu...tunatakiwa tuwe pale walipo South Africa
Hujui kwenye kila tone la mafuta Uganda itakalofaidika nalo na Tanzania Ina percentage yake?Uganda "may" get out of LDC once they start exporting oil. For Tz congratulations for your new status, but you can go back to LDC like Sudan if you are not careful.
Simply because we as Tanzanian did not done enough to our economy but trust me not this time aroundThere is a possibility. Remember your birth rate is much higher compared to your economic growth.
Kiukweli haiwezekani ikawa hvyo...Hujui kwenye kila tone la mafuta Uganda itakalofaidika nalo na Tanzania Ina percentage yake?
Tanzania ndio mnufaika mkuu wa hilo Bomba kuliko Uganda Tukiamua kuingia deeper
View attachment 1496514

cause wasingejenga bomba kama Tz ndo atanufaika kuliko wao ..You won`t benefit more than Uganda cause each year you will even struggle to get $1b from that deal.Hujui kwenye kila tone la mafuta Uganda itakalofaidika nalo na Tanzania Ina percentage yake?
Tanzania ndio mnufaika mkuu wa hilo Bomba kuliko Uganda Tukiamua kuingia deeper
View attachment 1496514