Kwahyo unataka kuniambia baada ya kusikia Tz ni middle Income immunity zao zitazd kushukaUjue hii taarifa ya Tanzania kuingia UCHUMI WA KATI itawachanganya sana wakenya kipindi hichi cha COVID-19 maana wamejifungia, mambo yao yamesimama, utalii chaliii, madeni ndo husiseme. Yaani tunaenda kuwafunika kama wamesimama vile

.Kuna mpango wa “Dar Es salaam Metro” Kama hamuufahamu. Treni za umeme za mjini kwa ajili ya kupunguza traffic jam barabarani na kukidhi mahitaji ya population kubwa ya jiji inayokua kwa kasi. Phase 1 naona wamepanga ianzie Aga Khan hadi Tegeta na treni zitapita juu njia nzima. Station zitakuwepo 13 nazo zitakuwa juu pia. Nadhani huu mradi Magufuli ataanza kuuanzisha akichaguliwa kwenye awamu nyingine. It is really exciting!Itakua poa sana,halafu mitaani kama tegeta -k'koo/posta wangeleta madude kama ya nyuma hapo 😉View attachment 1494666
Hawa jamaa wana tabu balaa sijui waliwekwa vipi kwenye kundi letu la MIC 😂😂😂😂😂Kwahyo unataka kuniambia baada ya kusikia Tz ni middle Income immunity zao zitazd kushuka.
Itakua poa sanaKuna mpango wa “Dar Es salaam Metro” Kama hamuufahamu. Treni za umeme za mjini kwa ajili ya kupunguza traffic jam barabarani na kukidhi mahitaji ya population kubwa ya jiji inayokua kwa kasi. Phase 1 naona wamepanga ianzie Aga Khan hadi Tegeta na treni zitapita juu njia nzima. Station zitakuwepo 13 nazo zitakuwa juu pia. Nadhani huu mradi Magufuli ataanza kuuanzisha akichaguliwa kwenye awamu nyingine. It is really exciting!
Kwahyo unataka kuniambia baada ya kusikia Tz ni middle Income immunity zao zitazd kushuka.


..Kabisa mkuuNani kakudanganya kua kariokoo ndio market kubwa in the region?. Do u know Eastleigh Nairobi?.... Eastleigh pekee ina mall nyingi kuliko Tz nzima
Uliileta humu mkuu nakumbuka na mfano wake piaKuna mpango wa “Dar Es salaam Metro” Kama hamuufahamu. Treni za umeme za mjini kwa ajili ya kupunguza traffic jam barabarani na kukidhi mahitaji ya population kubwa ya jiji inayokua kwa kasi. Phase 1 naona wamepanga ianzie Aga Khan hadi Tegeta na treni zitapita juu njia nzima. Station zitakuwepo 13 nazo zitakuwa juu pia. Nadhani huu mradi Magufuli ataanza kuuanzisha akichaguliwa kwenye awamu nyingine. It is really exciting!


Bla bla bla bla huu wimbo tumeuskia miaka nenda miaka rudi na gap inaendelea kupanukaUjue hii taarifa ya Tanzania kuingia UCHUMI WA KATI itawachanganya sana wakenya kipindi hichi cha COVID-19 maana wamejifungia, mambo yao yamesimama, utalii chaliii, madeni ndo husiseme. Yaani tunaenda kuwafunika kama wamesimama vile
Wangefika bagamoyo hili kukuza utalii wa bagamoyo. Maana uwa haitangazwi sana . Lakini kukiwa na kituo cha treni pata vutia sanaKuna mpango wa “Dar Es salaam Metro” Kama hamuufahamu. Treni za umeme za mjini kwa ajili ya kupunguza traffic jam barabarani na kukidhi mahitaji ya population kubwa ya jiji inayokua kwa kasi. Phase 1 naona wamepanga ianzie Aga Khan hadi Tegeta na treni zitapita juu njia nzima. Station zitakuwepo 13 nazo zitakuwa juu pia. Nadhani huu mradi Magufuli ataanza kuuanzisha akichaguliwa kwenye awamu nyingine. It is really exciting!
🤣 🤣 🤣 Hapo lazima zishukeKwahyo unataka kuniambia baada ya kusikia Tz ni middle Income immunity zao zitazd kushuka.
Halafu kinachowauma zaidi kwenye issue ya corona tumewapiga finger la katiMbn wanajua mkuu, cku hz huwa wanamuachia Mungu tu mana battle ishawashinda plan ya Tz inawashangaza![]()
Wakenya wanampenda JK sana kwakua ndio walikua wanaongoza kuuza madini ya tanzanite

enzi za utawala wake ,Wanasema JPM hana lolote sasa waone kua wao ni wazandiki na sio watu wakuwaslikiza kwakua ni watu wa janja janja,infact JPM Ni kiongozi amara anetetea maslahi ta nchi yake na sio kiongozi mwepesi kama wanavyodhani...😂😂😂😂 Hebu nijuze. Ulianza kuusikia huu mpango mwaka gani?? Najua una hasira ila ukichaa hautakusaidia. Kaa kimya tuBla bla bla bla huu wimbo tumeuskia miaka nenda miaka rudi na gap inaendelea kupanuka