Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe kilaza mwenzangu nionyeshe makaazi wanayoishi basi
Hayo hapo
images.jpg
 
Tembea kifua mbele.
Leo ni siku ambayo nna furaha sn cz ktk vitu ambavyo vilikuwa vinaniuma ni mm The best 007 kuishi ldc yn inakuwaje mjanja km mm niishi ldc?, ndiyo kuna reli ya umeme kuna madaraja ya kila aina kuna umeme wa kutosha kuna maji ya kutosha kuna amani kuna majengo mazuri hakuna slums hakuna ufisadi wa kutisha km kwa wenzetu but ni ldc, yn ktk bakora ambazo Wakenya walikuwa wanafaulu kunitandika basi ni hyo kashfa ya ldc, nilikuwa siamini kabisa km nchi hii ni maskini yn siamini na sitokuja kuamini kamwe, lkn leo chini ya uongozi wa mkuluwole the most African visionary leader a.k.a the magician Dr. John Pombe Joseph Magufuli aibu hii imefutika rasmi na nishaizika ktk kaburi la sahau.
 
Naungana na wew mkuu katima hili...tumesimangwa sana ldc....ilikuw inaniuma sn...leo nachek kwa meno yote..
 
Hiyo ndio tunaita slum mentality, wengi wenu hapa najua huishi kwenye mabanda ndio sababu mnashanga nikisema affordable homesView attachment 1494550
Let us use common sense😂😂 these housing units won’t eliminate the fact that your city is Africa’s leading slum hub. Nairobi slums are inhabited by millions of Kenyans who live under $1 a day! I wonder how the houses will be affordable to them? Will people pay rent??
 
Leo ni siku ambayo nna furaha sn cz ktk vitu ambavyo vilikuwa vinaniuma ni mm The best 007 kuishi ldc yn inakuwaje mjanja km mm niishi ldc?, ndiyo kuna reli ya umeme kuna madaraja ya kila aina kuna umeme wa kutosha kuna maji ya kutosha kuna amani kuna majengo mazuri hakuna slums hakuna ufisadi wa kutisha km kwa wenzetu but ni ldc, yn ktk bakora ambazo Wakenya walikuwa wanafaulu kunitandika basi ni hyo kashfa ya ldc, nilikuwa siamini kabisa km nchi hii ni maskini yn siamini na sitokuja kuamini kamwe, lkn leo chini ya uongozi wa mkuluwole the most African visionary leader a.k.a the magician Dr. John Pombe Joseph Magufuli aibu hii imefutika rasmi na nishaizika ktk kaburi la sahau.
Mjanjq kama Mimi daktari imagine
 
Back
Top Bottom