Lakini wameshabadilisha status ya Tz kwny makalablasha yaoWB wanadeclare saa ngap Tanzania kuwa MIC? tukinukishe! na wanadeclare vip?![]()





Kuna wale pimbi waliokuwa wanaleta ile screenshot ya map ya Africa ikionyesha kuwa TZ ni LDC. Little did they know kuwa tutakuwa nao sooner than expected. 😂😂😂 Sasa ni kuchapa tu
Wanaweza chukua za abiria Talent 3 na za mizigo Euro Dual Trains
View attachment 1494135
View attachment 1494136
Now tushindane tuone nani atakayeanza kuingia Upper Middle IncomeKuna wale pimbi waliokuwa wanaleta ile screenshot ya map ya Africa ikionyesha kuwa TZ ni LDC. Little did they know kuwa tutakuwa nao sooner than expected.Sasa ni kuchapa tu View attachment 1494256
Sisi tunapost na kudadavua miradi ya kimkakati,nyinyi Mmebaki kupost vigorofa tu,dadeki,mtanyoka miaka hii ya JPM.
Sijajua kama ni kweliWanaweza chukua za abiria Talent 3 na za mizigo Euro Dual Trains
View attachment 1494135
View attachment 1494136
Ila sipendi hii tabia ya JPM kufuta watu kazi na kuwasamehe baadae! Sheria zifuate mkondo ukifutwa kazi au ukifutiwa leseni basi iwe hivyo!Maamaaeee huyo ndiye Magu, Wakenya mnaona huku WaTz wanavyoabudiwa na wafanyabishara![]()
hawana cha kuongea kwa sasa wamebadili gia wanasema kuwa wao wanakaribia upper middl incomeKuna wale pimbi waliokuwa wanaleta ile screenshot ya map ya Africa ikionyesha kuwa TZ ni LDC. Little did they know kuwa tutakuwa nao sooner than expected.Sasa ni kuchapa tu View attachment 1494256






ni kweli mkuu ila nahisi hizi zitakuwa za cargo, jamaa wameziorder kimya kimya since January😂
Yup it’s true. Nadhani hizi ni za Cargo. wameshapeleka orders Germany, SA, na UKni kweli mkuu ila nahisi hizi zitakuwa za cargo, jamaa wameziorder kimya kimya since January😂
Tanzania Standard Gauge Railway - WikipediaView attachment 1494297View attachment 1494304