Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The white [emoji208][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya mambo tunawacheka lakini kiukweli yanaumiza na kusikitisha sana,binafsi huwa nikisoma tweet za wenye nchi yao,naiona hasira na masikitiko waliyo nayo mioyoni.[emoji16][emoji16]

Inafikia hatua mpaka natamani rais awaruhusu waje huku kupata uraia.
 
ukipata link tag me [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ctaki upate mawazo

2019 dec[emoji116][emoji116][emoji116]





may 2020

Link na wakati mlikua mnabwetuka wenyewe na zile zenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ngumu kumeza aisee..
Yani miezi mianane bado mradi unashindwa kupngeza hta 10%[emoji23][emoji23]
 
WaTz hatuwezi changamana na Wakenya amini kwamba mkuu, ni wana tabia mby mno.
 
NAIROBI KENYA LIFE STYLE [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

halafu wakenya hii tabia ya kujipotosha kwa kuja hapa na kuanza kusema sijui nyoko nyoko kujiita middle income country sijui ooh mnajenga ushago, ushago mmejenga nini cha maana..?..wakati maisha yenu hata mavi ni mazuri

hii nini, sasa haya ndiyo maisha yenu halisi
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
This is not even Ushago. This is Nairobi without a filter.
 
Hii ni aibu sana kwa majirani zetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…