El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
WASHINGTON DC
naona kumejengeka kakajengeka kwelikweli. .....mnatishaa
WASHINGTON DC
ichoboy nikija Tanzania nitakuletea pakiti ya colours naona wewe ni shabiki wa marangi sana.😀😀😀😀😀 kupiga rangi ni ushamba
😀😀😀😀 kwenye rangi munakua wakaliBasi pigeni rangi hio National carrier yenuAir Tanzania. Air Kenya is doing even way better and has a larger fleet size yet It's just a small regional airline.
Duhh maana mkiambiwa kuhusu rangi munakua wakali sana😀😀😀😀ichoboy nikija Tanzania nitakuletea pakiti ya colours naona wewe ni shabiki wa marangi sana.
Ran accross this 1949 photo of this beautiful mosque, Jamia Masjid, mosque Nairobi.Jamia mosque CBD Nairobi View attachment 523440 View attachment 523441 View attachment 523442 View attachment 523445 View attachment 523446 View attachment 523447 architechture
That is just before Nakumatt Lifestyle. Just at the ground floor is pizza inn oppsite jevanjee. It houses kenya comfort hotelI have never seen this spot in town....which street is this?
![]()
😀😀😀 mtu wa rangi... Definitely had to be a clown...Ndio hawa ndugu wa ichoboy
![]()
![]()
Shida yenu wakenya washamba sana. kila mzungu anafanya ati kweni ni supper. Poor Kenyans hivi nani kawaroga kiasi iki. Tumieni akili zenu achana na mentality ya kufanya vtu kwa kuwa London wanafanya hivyo jarbuni kuwa kma nyinyi stop that habit of ..............We hujui any ata manyumba za London hazipakwi rangi kwa mawe
Unataka na sisi tujenge nyumba za kufanana kama mabweni ya Wanafunzi?Abuja, Ibadan, Lagos apartments zimejaa..
ndio maana Dar ni ugly...kila mtu anajenga vile anataka..no rules
Huko nairaland ndio kipimo cha uzuri wa Miji? What a silly argument.mbona mnaogopa kupeleka slum yenu ya Dar is slum Nairaland ?No wonder you are a least developed country. .....ujamaa poverty stricken Neanderthals
Injinia fake ni hao wanaowajengea mabweni yanayoanguka spontaneously na kuua wakenya wasio na hatiaKwanza yule engineer fake wa Tanzania alisepa wapi.......nimepitia hii thread yote
And from which people does the whole tanzania draw its architecture inspiration from if not them,shut ur ignorance ,warogi nyinyiShida yenu wakenya washamba sana. kila mzungu anafanya ati kweni ni supper. Poor Kenyans hivi nani kawaroga kiasi iki. Tumieni akili zenu achana na mentality ya kufanya vtu kwa kuwa London wanafanya hivyo jarbuni kuwa kma nyinyi stop that habit of ..............
We hujui any ata manyumba za London hazipakwi rangi kwa mawe
Injinia fake ni hao wanaowajengea mabweni yanayoanguka spontaneously na kuua wakenya wasio na hatia
Maana tumewapa ruhusa ya kuleta all towns and cities in Kenya kushindana na only DSM in Tanzania
Unataka na sisi tujenge nyumba za kufanana kama mabweni ya Wanafunzi?
Usitupangie bwana, Tunaishi tutakavyo, our land, our rules.