Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

On Nairaland, people appreciate this estate as a well planned massive living estate. I wonder people from Bongo don't know what estate apartments are??? Is it because Dar is Slum????
5490536_maxresdefault1_jpegb086b1ea3546ba62ede0e41948c051e3
Jama domitories!! maisha ya kuishi kwenye mabweni na watoto hayana ticha! Wabongo tupo juuu
 
Ichoboy wee mbishi sana ntapanga niende kule kibera nikuletee picha ya hali ilivyo kwa sasa!! Wewe unaona picha za 1990's.

Change in Kibera started in 2013 and the upgrade program (Which is not only in Kibera but other slummy areas) is on going and you can't believe how things are turning out!!
822 Houses were given out August 2016.
Others under construction should be completed before the end of this year 1000 Houses!
View attachment 523332

Cm1jHD4WgAAC8Tz.jpg

Cm1jIUGWEAEV8NS.jpg

Cm1jJ8GXYAAMMDd.jpg

Cm1jLlpWYAAECUM.jpg
Kila nikiona majengo ya Kenya swali LA kwanza ni kwanini hakuna rangi , majengo machafu sana
 
On Nairaland, people appreciate this estate as a well planned massive living estate. I wonder people from Bongo don't know what estate apartments are??? Is it because Dar is Slum????
5490536_maxresdefault1_jpegb086b1ea3546ba62ede0e41948c051e3
Izi ni dormitory ,how can you humiliate your family kwa kuishi kwenye ma bweni kama mpo second school , yani hakuna privacy ya ww na mkeo
 
Kila nikiona majengo ya Kenya swali LA kwanza ni kwanini hakuna rangi , majengo machafu sana
Kwani mawe hupigwa rangu? Usituonyeshe ufala kwani wewe kipofu huoni vile hizo nyumba ziko beautiful.... In fact Nairobi inatumia rangi mingi kushinda Tz yote
 
Wewe unaishi mortuary na uko na guts?
7a3a1a79fcb727b121bc2f898b490260.jpg
360f950640fd889c71525916a8b58ab5.jpg
Poor kenyan ni kutuma aina za dormitory za secondary schools yani shule uishi kwenye mabweni na upo kwenye life lako bado upo bwenini
Nai enjoy Tanzania maana naishi ndani ya geti langu mwenyewe na ndani ya nyumba yangu mwenyewe

Maisha ya bweni ni humiliation to family
 
Unaenjoy maisha kwa mortuary????? Awkward
 
Izi ni dormitory ,how can you humiliate your family kwa kuishi kwenye ma bweni kama mpo second school , yani hakuna privacy ya ww na mkeo
Yaan wa bongo tuko na raha sana, kila mtu na Nyumba yake na ikibidi weka fence, hawaz wanywa chang'aa kumbe wana maisha ya mabweni ambayo wanaya batiza kwa Jina la estate!! Naomba huo upuuz usije Tz. Raha ya maisha jenga nyumba yako OVA. Wazungu wamewarob akili na kuwa aminisha mabweni eti ndio maendeleo?? Wao kule aridh hakuna ndio maana. Hapa bongo acha tulinge na aridhi yetuuu. Asante Mungu kuweka TZ
 
Poor kenyan ni kutuma aina za dormitory za secondary schools yani shule uishi kwenye mabweni na upo kwenye life lako bado upo bwenini
Nai enjoy Tanzania maana naishi ndani ya geti langu mwenyewe na ndani ya nyumba yangu mwenyewe

Maisha ya bweni ni humiliation to family

mbona mnaogopa kupeleka slum yenu ya Dar is slum Nairaland ?No wonder you are a least developed country. .....ujamaa poverty stricken Neanderthals
 
Nairaland? Akili yako imezoea kutawaliwa na nchi nyingine tu! Unashindwa hata kuongelea JamiiForums.com ya hapo kwenu unafanya promo ya forum ya wanaijeria?
 
I am giving you two days ama nitawaanzishia. ....si mnaona mmefika.Wacha waafrika wengine pia watambue mji wenu......
 
Two days? Nenda sa hizi uone wanijeria wenyewe watakavyokushambulia huku wabongo tumetulia!

Au nikuletee thread nyingine mkenya alianzisha huko akiikashif Tanzania uone wanijeria walivyompa za uso
 
Tena kama unajipenda usiongee upuuzi wako kuhusu tz mbele ya wanigeria! utakoma
 
Two days? Nenda sa hizi uone wanijeria wenyewe watakavyokushambulia huku wabongo tumetulia!

Au nikuletee thread nyingine mkenya alianzisha huko akiikashif Tanzania uone wanijeria walivyompa za uso
Dar vs Lagos on Friday. ....no delay
 
Back
Top Bottom