Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Some apartments in Donholm area....eastlands
717c2ff0be8e149d7d90c7ec0b40dea9.jpg

4341016cbbb2cd84f1511f996f2e7c40.jpg

cd9687bc729fd92830cf80b7f2471982.jpg

6e93936719ce5cbcd7dfbf3f907db271.jpg

bdac8b34fdaa67eff016b05777cd272a.jpg
 
Yaani hawa jamaa wanaboa sana utasikia the Mega, supper, mather of all. Hala kitu kinachopigiwa chapuo utakuta ni kituko!! ila sio taabu watakuwa wameathirika sana na maisha ya bweni tena uzeeni. Domitory zinadumaza sana na haya ndio matokeo hasi ya kujenga mabweni na kubatiza estate!! Yaan .... punda ni punda hata kama umpake rangi afananie na pundamilia ila ukweli ndio huo. a Domitory is a domitory be it in the name of estate or local name you wish to brand it!! hii ngume kumeza itabidi wapanue midomo iingie vizurii!!! Ova
Sawa zenu ma mortuary na mna guts
 
Dar ndio tower mbili za serikali...Nairobi iko ligi ya Johannesburg na Lagos....nyinyi mko ligi ya Mombasa,Maputo,lusaka, etc
Iyo nairobi ya kibera na mathare korogocho ndio unaona ni mjn?broo try other city maana Dar is even far away better in overall
 
Dar ndio tower mbili za serikali...Nairobi iko ligi ya Johannesburg na Lagos....nyinyi mko ligi ya Mombasa,Maputo,lusaka, etc
Sawa maana uhuru wa kuongea unautumia. Kuongea unaweza sema hata Lamu inazidi Moscco si unapayuka tu hakuna atakae jali. Yaani ushindanishe ww peke na matokeo unajipa mwenyew.......
 
Jozi,cape town ,Durban Ziko very advanced, Pretoria hakika hamuwazidi Hawa jamaa kwa lolote try other city man south Ile sio level yetu kabisa
Johannesburg na Capetown pekee ndio unaeza ongelea hizo zingine haziezi kua mbele ya Nai...ata kama niza wazungu
 
Back
Top Bottom