Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi hosts you
Gives you a job
Feeds you
Gives you a shelter
Clothes you.
.

Once you leave you only know kibera and mathare. Kweli a human being is a strange being. .....mbwa ukimpa chakula once hawezi kukosa shukran.
Povuuuu.....kisu cha ngariba kimeingia mahala pake.
 
View attachment 523459
Hii IPO Nairobi ,panaitwa Wilson airport kwa ndege ndogo ndogo
Kila kona Nairobi inakula viboko vya kutosha kutoka dsm ,ako ka Wilson airport chao majengo machafu wameshindwa ata rangi abiria apo kwa Wilson airport watakuwa wana ondoka na kunguni

Kila siku nawashauri usitume picha majengo machafu wameshindwa afford kupaka rangi
Hehe in Tz rangi is th new trend. Inanikumbusha zile enzi ushago nyumba zinapakwa rangi time ya sherehe na Christmas. They have that mentality
 
kibera ilitoka from 2.5 million ikaenda hadi 1 million then 200000.....

last census ilikuwa na 170,000
 
Report ya BBC inasema majengo 3 kati ya 5 Nairobi hayafai kwa makazi ya binadamu

Ndio maana tunaona mnatuma majengo uku ya ovyo sana kama ilo linye nusu ya jengo ni antenna muwe makini linaweza poromoka mna wowote
Link?
 
Hehe in Tz rangi is th new trend. Inanikumbusha zile enzi ushago nyumba zinapakwa rangi time ya sherehe na Christmas. They have that mentality
Najua gharama kumalizia nyumba ni kubwa sana kwa kenya maana unatakiwa upige plasta ya cement upige white cement na uweke whether guard sasa izo gharama watawezea wapi lazima waache kama ivyo matofali yapo kavu kavu , ata hiyo nyumba iliyo dondoka Leo uko Nairobi ipo ivyo kama hiyo airport ya wilson
 
sound and fury signifying nothing
 
terminal 1 mainly for light aircraft and private jets
exterior-of-terminal-1-building-at-the-julius-nyerere-airport-in-dar-J2PFNM.jpg
View attachment 523420 View attachment 523423 View attachment 523424 View attachment 523425 View attachment 523426 View attachment 523427
Iyo ndio JNIA aibu kubwa....unailinganisha na Wilson
 
why is it that you guys never admit your shortcomings? ??mnapenda kujifanya ati mko sawa hehehe. hata journalist akisema watanzania wanalala njaa magufuli atamfungia jelani forever....

'our perfect neighbours '
 
Najua gharama kumalizia nyumba ni kubwa sana kwa kenya maana unatakiwa upige plasta ya cement upige white cement na uweke whether guard sasa izo gharama watawezea wapi lazima waache kama ivyo matofali yapo kavu kavu , ata hiyo nyumba iliyo dondoka Leo uko Nairobi ipo ivyo kama hiyo airport ya wilson
We hujui any ata manyumba za London hazipakwi rangi kwa mawe
 
Si mmechangamka na slums sijui kama hazingekuwa mngesaidiwa na nini. Anyway, having slums doesn't mean you beat us, does it? Fact remains we make more money than you do. You doubt it? India and China have slums too but you can't even start competing with Delhi, labda kwa izo slums. And i won't talk about china. It's an abomination
bidonville-a-jakarta-7694.jpg
images (1).jpg
images (2).jpg
images (3).jpg
du-lich-kham-pha-khu-o-chuot-lon-nhat-chau-a-o-an-do.jpg
 
Back
Top Bottom