Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikija Dar nitakaa hapo CBD. ...naogopa hizo estates zenu.Rayvany alisema ukifua lazma ulinde ama mateja watachangamkia wauze ndio wale bata
Karbu sana, inchi ya uhuru kamili?? Huku ukija uache huko huko mentality za kuhudu Wazungu waliowachia Mabweni hapo
 
Wewe bwana mdogo, umejoin hapa hii thread ikiwa imeashaanzishwa, wakenya wenzio ambao ni nguli wameukubali ukweli na kuondoka wakakimbilia kuanzisha uzi mwingine ambao pia wamekalishwa chini!

Nakushauri uanze kusoma kuanzia post ya kwanza!

Kwanza yule engineer fake wa Tanzania alisepa wapi.......nimepitia hii thread yote
 
DAR CITY nikipigapiga kidogo picha
83c980b756ad9701eb823b07a1a96362.jpg
e2e55141ca7dd442cf8388bfe0cd6c5d.jpg
539cb3ec154c40fb57c2aa0e50b04579.jpg

4c13381d5f442c8d69caadf90c43e958.jpg
 
za kariakooo na upanga nayo ni nini?.....mbona unakaa paka anayejilamba
Kuna kitu wwe jamaa ni mugumu kuelewa,Ivi wakenya mnataka tujenge domitory hapa Dar in the name of Estate!! Kwa ajili ya nani? Wabongo kila mmoja ana ardhi hivyo anajenga yeye. Hizo zilizopo ni kwa ajili ya wageni tu na vijana wanao anza maisha hapa mjini. Kwani wageni haturusu kuchukua asset pendwa na adhimu hapa Duniani ambayo ni Aridhi!! Hivyo kujaza domitories hakuna maana mbongo hana haja ya kuishi mabwenini Daima
ARIDHI -ARIDHI-Ndio kila kitu mkuu nyinyi ardhi ipo mikononi mwa wajanja wachache ndio hao wanawajengea Domitories muishi. Shauli yenu ....... DAR raha sana
 
Mombasa Kisumu Nakuru Eldoret Kakamega Kitui Nyeri ndio most people wanatengeneza personal houses. ....in Nairobi if you want a personal house and you want a personal house you either take up a mortgage or just make a capital purchase. Or itabidi ujenge in Kajiado Machakos Kiambu ama Muranga counties. .....In Kenya most companies build houses and sell them out.All the land within Nairobi boundaries sahii is already built up so huwezi afford kununua shamba ya one acre at 50 million. .........
 
Kuna kitu wwe jamaa ni mugumu kuelewa,Ivi wakenya mnataka tujenge domitory hapa Dar in the name of Estate!! Kwa ajili ya nani? Wabongo kila mmoja ana ardhi hivyo anajenga yeye. Hizo zilizopo ni kwa ajili ya wageni tu na vijana wanao anza maisha hapa mjini. Kwani wageni haturusu kuchukua asset pendwa na adhimu hapa Duniani ambayo ni Aridhi!! Hivyo kujaza domitories hakuna maana mbongo hana haja ya kuishi mabwenini Daima
ARIDHI -ARIDHI-Ndio kila kitu mkuu nyinyi ardhi ipo mikononi mwa wajanja wachache ndio hao wanawajengea Domitories muishi. Shauli yenu ....... DAR raha sana
Huyu chalii hawezi kukuelewa maana hajui lolote kuhusu miji hii zaidi ya kuona picha! Kubishana na huyu ni kupoteza muda kabisa!

Anahitaji kukaa mda mrefu ajifunze! Yeye anaropoka tu!
 
Huyu chalii hawezi kukuelewa maana hajui lolote kuhusu miji hii zaidi ya kuona picha! Kubishana na huyu ni kupoteza muda kabisa!

Anahitaji kukaa mda mrefu ajifunze! Yeye anaropoka tu!
Nyiyi mme kalili what a Mzungu anajua kuhusu miji ndio shida yenuuu. Yaan kuja na maana nyingne hakuna?? Ndio shida yenu
 
Nairobi ni mji expensive kununua shamba,
big cities e.g. Johannesburg, Cairo, Tokyo, NYC kumiliki land ni very expensive....ndio maana three quarter ya residents wanaishi kwa apartments.
TEMBEA KIDOGO NJE YA TZ.
Ardhi yote imeshikwa na politician common people mumebakia kusaga meno
 
Ichoboy wee mbishi sana ntapanga niende kule kibera nikuletee picha ya hali ilivyo kwa sasa!! Wewe unaona picha za 1990's.

Change in Kibera started in 2013 and the upgrade program (Which is not only in Kibera but other slummy areas) is on going and you can't believe how things are turning out!!
822 Houses were given out August 2016.
Others under construction should be completed before the end of this year 1000 Houses!
View attachment 523332

Cm1jHD4WgAAC8Tz.jpg

Cm1jIUGWEAEV8NS.jpg

Cm1jJ8GXYAAMMDd.jpg

Cm1jLlpWYAAECUM.jpg
Usiguoneshe majengo yapo pembeni ya kibera kaka nimeeka video ya voice of america wakionesha hali halisi ya kibera umepita kimya kimya kwann sasa......😀😀😀
 
sijawah kuona watu wanaishi kuzimu kama kwenye slums za nairobi yani utasema wanaishi nguruwe subhanallah
hebu have a simple look... hii ni sehemu binaadamu wanaeza kuishi
3.jpg
Kibera-Slum-Image-1.jpg
nairobi-mathare-slums-500x333.jpg
images
Sasa unadanganya nani. Hapa ni wapi
46066.jpg

Its time you face the reality, true we have slums in Nairobi but something is being done, endelea kujifanya hujui hata slum ni nini na yenu sijui kama inaweza kurekebishwa. How do you upgrade the entire city that is bigger than Nairobi as you like to say
 
Back
Top Bottom