Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,745
Ushawai ingia nairobi terminus ujue kwnn pametengenezwa vile au unawehuka tu..escalator za nn wakati terminal haina airbridges au ndo kama Nairobi SGR Terminal? Unapanda na kushuka!
Vitu ni tofauti na proposed design!
![]()
![]()
Construction of Kenya’s cruise ship terminal nears completion!



Still design ya kishamba! Nchi zilizoendelea unapanda mara moja halafu unakwea treni ama ndege ama meli! Ila nchi za kifala kama Kunyaland ni mwendo wa kusukuma mlevi kwa kumsifia first class SGR, first class train terminus au first class cruiseships terminal au first class airport terminal ile ya JKIA ina ma-ramp marefu mpaka airport's airside ! Imagine mtu Anashuka kwa ndege then ramp anapanda ghorofani then anashuka kufika customs desk! Haki nyie ni "wali wao"!Ushawai ingia nairobi terminus ujue kwnn pametengenezwa vile au unawehuka tu..
Anyway naona unatafuta pa kutokea katika hyo cruise ship terminal
Yani hapo ndani kumeundwa kila sehemu na ishu zake..we ndio unashangaa escalators
Hivi maunjinia wetu hawana viwango na standard za kujenga barabara ,? Maana zinakuwa na mapungufu yasiyo na msingi nyingine hazina njia za wapita kwa miguu sehemu yenye watembea kwa miguu nyingine zimejengwa matuta ya ajabu ajabu yanasababisha hadi Gari kuchomoka vioo matuta yanatengeneza vibration kama yaliyo wekwa eneo LA banana hapa dar ,mfano mwingine ni mitaro ya mvua VP unajenga mitaro ya wazi sehemu kama ile ya shule ya benjamini mkapa sec wakati pale ni cbd serikali lazima itengeneze miiko ya ujenzi kwa mainjinia hapa tz ,au unakuta barabara za mijini hazina Taa hadi unajiuliza hizi tenda za ujenzi zipoje zipoje ,?????????Wanatakiwa wachore dermacation lines lakini!
LOL waitoe wapi?Huwa wanasema wapo kwenye 20,000km![]()
Hii itajoin Morogoro na Njombe sio?
Nauliza hii barabara ni ya rangi ipi?
View attachment 1488217
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app





La kibabe sana...Moro ndio wamekua wakianza miradi ya kibabe hata stendi nzuri ilianzia Moro...nadhan kuna viongozi makini sana hapoMorogoro market 90% ready
![]()
Inafanana na za NairobiNauliza hii barabara ni ya rangi ipi?
View attachment 1488217
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Inafanana na za Dar slumInafanana na za Nairobi
Bongo mchana mwingiInafanana na za Dar slumView attachment 1488249
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Bangi inakusumbua....nikileta k/koo tu pumzi huna...Kilimani is =to posta,kariokoo and upangaView attachment 1488259
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app







weka facts for both countries, mnapenda kujikweza mahali hampo., mara road network, hotels, sijiu nini

facts zikiwekwa peupe by reputable bodies inaonekana mko bado
hadi mukulu anajikaza kwenye speech to round off atleast ionekane mko afadhali.,(propaganda as usual), now including those under construction ndio inawapa 15k km., of which your govt is likely to extrapolate the kms kuwapumbaza

LOL waitoe wapi?
Ndio maana hulazimisha kwa nguvu kwamba sisi tunazo kilometres 8k za lami, wangekua nazo hizo 20k wasingukua wagumu kurealize the reality kwamba Tanzania tuna zaidi ya 15k za lami
Inawawia vigumu kukubali ukweli mchungu huo sababu wanajua tulishawaacha mbali mno kwenye hiyo sector.
Unauliza rangi wkt barabara zenu ndio zipo hvyo, yn hapo tusingelisema ni Morogoro majority humu wangedhani ni kenyaNauliza hii barabara ni ya rangi ipi?
View attachment 1488217
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Tunajua Ke mmepave 10% tu iyo pia ni shameIf wishes were horses....jaza pengoweka facts for both countries, mnapenda kujikweza mahali hampo., mara road network, hotels, sijiu nini
facts zikiwekwa peupe by reputable bodies inaonekana mko bado
hadi mukulu anajikaza kwenye speech to round off atleast ionekane mko afadhali.,(propaganda as usual), now including those under construction ndio inawapa 15k km., of which your govt is likely to eztrapolate the kms kuwapumbaza
![]()
Weka facts stop wishful thinking., what you have on roads in relation to the size of your country and population is a shame.