Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairaland? Akili yako imezoea kutawaliwa na nchi nyingine tu! Unashindwa hata kuongelea JamiiForums.com ya hapo kwenu unafanya promo ya forum ya wanaijeria?
Kwa nini sisi tuwafuate,kwa nini wao wasije jamiiforum,,hatuezi kujipendekeza kama nyie.Sisi tunajivunia jamiiforum na wao wanajivunia nairaland!
 
Dar vs Lagos on Friday. ....no delay
Tumewapa nafasi ya miji yote and cities in Kenya bring them all na mshindane na only DSM , sasa naona mmezidiwa ni kuleta miji ambayo ipo nchi zingine

Mlianaza Rwanda , Uganda pote tukawa chapa viboko sasa mnaenda Kuleta miji ya Nigeria

Humiliation ya kuishi kwenye dormitory , ni Kali sana how can you live with the family in dormitory

Ipo painful sana but ni maisha vumulieni na jipangeni mbadili sheria ya ardhi
 
a37f56ed953381cfbbdf8b8de3ae43db.jpg

Nonsense
 
Kwa nini sisi tuwafuate,kwa nini wao wasije jamiiforum,,hatuezi kujipendekeza kama nyie.Sisi tunajivunia jamiiforum na wao wanajivunia nairaland!
Huko wanakaa wakenya ambao ni wazee wa kushoboka! Eti mtu anajitapa hapa eti no delay
 
Tumewapa nafasi ya miji yote and cities in Kenya bring them all na mshindane na only DSM , sasa naona mmezidiwa ni kuleta miji ambayo ipo nchi zingine

Mlianaza Rwanda , Uganda pote tukawa chapa viboko sasa mnaenda Kuleta miji ya Nigeria

Humiliation ya kuishi kwenye dormitory , ni Kali sana how can you live with the family in dormitory

Ipo painful sana but ni maisha vumulieni na jipangeni mbadili sheria ya ardhi

Dar is slum jameni.....top 10 poorest cities! !!!!!!....poleni.Nitawaletea Mandera town hapo mtajaribu
 
Dar is slum jameni.....top 10 poorest cities! !!!!!!....poleni.Nitawaletea Mandera town hapo mtajaribu

Rais amewapa maagizo wakuu wa mikoa kukamata mashamba ambayo hayajaendelezwa na kuyagawa kwa wananchi

Karibu Tanzania maali ambapo wananchi wanagaiwa ardhi ma bwanyenye machache yana nyang'anywa

Hakuna humiliation za kuishi dormitory
 
Dar is slum jameni.....top 10 poorest cities! !!!!!!....poleni.Nitawaletea Mandera town hapo mtajaribu
Wewe bwana mdogo, umejoin hapa hii thread ikiwa imeashaanzishwa, wakenya wenzio ambao ni nguli wameukubali ukweli na kuondoka wakakimbilia kuanzisha uzi mwingine ambao pia wamekalishwa chini!

Nakushauri uanze kusoma kuanzia post ya kwanza!
 
Yaan mwanaume yeyote bila Nyumba yako hunatofauti na Demu, hakika Kenya wanaume hawazidi 1000 Mingine itakuwa mijike tu.

ungekuwa unanilipia rent na utility bills ungeongea.....leteni estates zenu za kawaida watu wa 'tunajenga kivyetu'.....
 
How do you access that dingy city of yours honestly. ...wah...!.....fungeni internet mjenge Dar yenu angalau I change sura
Welcome newbie!

Kuku mgeni hakosi kamba mguuni, ila wewe hii kamba yako ndefu sana
 
Rais amewapa maagizo wakuu wa mikoa kukamata mashamba ambayo hayajaendelezwa na kuyagawa kwa wananchi

Karibu Tanzania maali ambapo wananchi wanagaiwa ardhi ma bwanyenye machache yana nyang'anywa

Hakuna humiliation za kuishi dormitory

No thank you.
 
Nikija Dar nitakaa hapo CBD. ...naogopa hizo estates zenu.Rayvany alisema ukifua lazma ulinde ama mateja watachangamkia wauze ndio wale bata
 
Back
Top Bottom