😀😀😀😀😀😀 onesha makazi ya watu kakaWhen we talk of slum upgrade, this schools in Kibera can attest to what we say! Nairobi is on the move
Soon Kibera and other slums in Nairobi will be a thing of the past!!
[HASHTAG]#Nairobionthemove[/HASHTAG]
![]()
Poor you , yani unajisifia kuishi dormitory ndio maana Kenyan wakija bongo wanashangaa sana ukimwambia una own nyumba yako wenyewe, imagine kwa Tanzania unachora ramani na unajenga your dream house imagine that , kwa Kenya icho kitu Nairobi ni ndoto kwa mkenya wa kawaida anasuburi mwanaume mwenzake amjengee dormitory ili aende kuishi na mke wake imagine the humiliation wanapitia lazima uwe mkali na kutoa maneno ya kujifariji

Kwetu aridhi ipo tu c unajua hii ilivyo barikiwa, hakuna haja ya kubanana kwenye domitory. eti tuige wazungu? Ujinga huo wabongo tunajiachia tu aridhi ipo bwerere yaan mpaka leo hii hata bure mtu anakugea tu. Hivyo viinchi vyenu kama vchochoro ndio mtakoma na muendelee kuishi kwenye hizo domitory, viva Nyerere kwa kuwazidi ujanja wenzako ukatwaa aridhi na kuifanya mali ya ummaNairobi ni mji expensive kununua shamba,
big cities e.g. Johannesburg, Cairo, Tokyo, NYC kumiliki land ni very expensive....ndio maana three quarter ya residents wanaishi kwa apartments.
TEMBEA KIDOGO NJE YA TZ.
Ichoboy wee mbishi sana ntapanga niende kule kibera nikuletee picha ya hali ilivyo kwa sasa!! Wewe unaona picha za 1990's.😀😀😀😀😀😀 onesha makazi ya watu kaka
View attachment 523306
Poleni sana majirani. Ila Edward Wanjala na Jay456watt, naomba kujua kwanini mnakatana vilimi?
Kumbe kibera inawauma? Mnavyosema Dar kwa ubaya kila wakat sio tatizo Ila ikisemwa kibera watu mnapata kichaakuna list kubwa yani kama ni upgrade basi sio kaz ya kuisha Leo wala kesho bado kibera itakua eneo lakufanyia utalii
If iT was that easy then kibera would not exist as itsTuusan Kibera haina kazi kama vile Dar. Hebu ona ukubwa wa Kibera hapa.
An estate of 10, 000 units will be enough to open it up!
![]()