kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,819
- 3,176
Aliyekwambia terminal 3 kajenga Magu alikudanganya, pia Magu kawaiga kwny ujenzi wa bwawa kubwa la umeme EA, kawaiga kwny MGR rehabilitation cz hata nyie mshawahi kuifanya MGR yenu iwe ya kisasa yenye speed over 70km/hr, kawaiga kujenga BRT phase 2 and phase 3, yn Magu anaiga kenya kila kitu hata kukopa kopa, anaiga kupambana na rushwa na ufisadi, anaiga kenya kujenga mji wa kisasa zaidi EA wenye white house yny eneo kubwa kuliko zote duniani [emoji3][emoji3] Magu bhn yn anaiga mpk kuomba misaada ya chakula, juzi tu hapa katoka kumuiga Uhuru jinc ya kutumia magonjwa kuomba pesa za misaada [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kutoka Aga khan hadi Tegeta, reli yote itapita juu. Silicon Dar patapendeza sana. The towers pembeni na road expansion ikikamilika na BRT. Mfano wa reli ya namna hiyo ni hii hapa View attachment 1478222
mkuu huyo jamaa anaakili ya mawenge anadanda huku anadunda kule mwisho wa siku anatoka ndani ya maada ya thread yake yeye mwenyeweWacha kubadilisha gear angani, wewe ndio ulifungua Uzi kwa kutuonyesha kwamba mlifanya operations 80 kwa miezi 14, Gear uloli aliposhangaa kwamba ni chache, mkauliza "kwenu mumefanya ngapi", ulipoonyeshwa tumefanya nyingi zaidi yenu, ukageukia success rate.
Hatuwezi kulinganisha Private Hospital na Public Hospitals, lazima tulinganishe Public kwa Public Hospitals. Tuambie katika public Hospitals zenu munefanya " Kidney transplant ngapi?. Hahahaha, Hahahaha
we jamaa nilishakuambia kuwa haujielewi upo side gani unachofanya ni utoto kudunda dunda..... pasipo kujua unapaswa kuelekea njia gani...I asked you to understand the topic before jumping in like a baboon, coz I read ulianza kuandika mambo ya moyo and quantity, the topic ni "TREATMENT", basing on latest technological use and success rate. I am not a fool., I tried explaining to you your big numbers of heart treatments etc, which anyway was a derailment of the thread.,
To counter the thread accordingly you have to state your success rate, otherwise the rest will be a misfire. Maybe you open a new thread we go to numbers.
Mwambie akaulize Comorounapenda kujidanganya kwa kujifurahisha........
eti TPDF imeshindwa,imeshindwa nini,wapi ,lini na saa ngapi....?••• au uliota ndoto ya kivita ukiwa front captain na ukala kichapo ukahisi hiyo ndoto ni TPDF[emoji3][emoji3][emoji4][emoji4]
endelea kujidanganya na hizo taarifa zako za kichwani
Tz Army huwa hatuna historia ya kuloose mission......... iko wazi
Sisi tuna lugha yetu ambayo ni Kiswahili...Hatuwezi kujivuna na lugha za ma colonial masters..Tz na Swahili yao pekee,haha,sisi ni wazungu wa Africa
Watupe ile yao ya pale Mlimani?
Uliona alivokua anatapa tapa akiambiwa kina Wakenya wanakuja Muhimbili kwa ajili ya figo...Achilia mbali Pale Jakaya Kikwete Cardiac Institute..Wakenya wanaongoza.Wacha kubadilisha gear angani, wewe ndio ulifungua Uzi kwa kutuonyesha kwamba mlifanya operations 80 kwa miezi 14, Gear uloli aliposhangaa kwamba ni chache, mkauliza "kwenu mumefanya ngapi", ulipoonyeshwa tumefanya nyingi zaidi yenu, ukageukia success rate.
Hatuwezi kulinganisha Private Hospital na Public Hospitals, lazima tulinganishe Public kwa Public Hospitals. Tuambie katika public Hospitals zenu munefanya " Kidney transplant ngapi?. Hahahaha, Hahahaha
[emoji16][emoji16][emoji16]kwahiyo tutegemee hasara zaidi kwenye train letu la mfano.
yani hio ni white elephant kama ilivoishia porini 😂😂😂😂[emoji16][emoji16][emoji16]kwahiyo tutegemee hasara zaidi kwenye train letu la mfano.
factHuoni kuwa ni wewe ndio unatapatapa?
Utafungua nyuzi ila kichapo kipo pale pale hakikwepeki,
Tatizo ni huwa mnadhani kila mtu ni ccm humu na hapo ndipo mnapokosea.
Yosef Festo atabaki kushabikia train station[emoji16][emoji16][emoji16]kwahiyo tutegemee hasara zaidi kwenye train letu la mfano.