Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Moderator anatoa nyuzi zangu kwa nini
Moderator anatoa nyuzi zangu kwa nini
Nyuzi za kizushi,kama ile ya ukrain.Moderator anatoa nyuzi zangu kwa nini
Nani kasema wamehamia tz[emoji16][emoji16][emoji16].unesikia new cases kwanza au uko unakula goodtime to hapa jf??Bado kazi iko Kenya,Kuwa suspended hawajahamia TZ
Mbona wewe mara nyingi unaandika broken hatusemiPolish your English then come back and engage me
Show me one of themHusiwe limbukeni wa lughaMbona wewe mara nyingi unaandika broken hatusemi
Bado tu upo kwenye utumwaTz na Swahili yao pekee,haha,sisi ni wazungu wa Africa
Show me one of them
usipate tabu mkuuMombasa road Nairobi,is booming
View attachment 1482287
Very sad to see an african being proud of european language than the native language. Hivi ndio vitu vinafanya wazungu wadharau waafrika.
tunazungumzia white elephant😂😂😂Bado kazi iko Kenya,Kuwa suspended hawajahamia TZ
Hawa jamaa ndio hub a Amsterdam inter airport
Balozi wa USA Tanzania ameaga anarudi kwao.Hizi kidney stones nasikia kuzipitisha kwenye njia ya mkojo (nzima nzima) inauma sana. Na watu wangu wawili waliwahi experience, kama Mlongazila wanavifaa vya kuvunja mawe basi itakuwa heri kwa wagonjwa.