Aliyekwambia terminal 3 kajenga Magu alikudanganya, pia Magu kawaiga kwny ujenzi wa bwawa kubwa la umeme EA, kawaiga kwny MGR rehabilitation cz hata nyie mshawahi kuifanya MGR yenu iwe ya kisasa yenye speed over 70km/hr, kawaiga kujenga BRT phase 2 and phase 3, yn Magu anaiga kenya kila kitu hata kukopa kopa, anaiga kupambana na rushwa na ufisadi, anaiga kenya kujenga mji wa kisasa zaidi EA wenye white house yny eneo kubwa kuliko zote duniani [emoji3][emoji3] Magu bhn yn anaiga mpk kuomba misaada ya chakula, juzi tu hapa katoka kumuiga Uhuru jinc ya kutumia magonjwa kuomba pesa za misaada [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]