TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Hii ni idea nzuri ila tuanze mdogo mdogo maana miradi mikubwa still inataka hela ndefu..Kwakutoa views zangu na ningependa serikali ione hili
Nchi yetu igawanywe kwa zone 7
Nothern Zone- Mwanza
Southern zone- Mtwara
Eastern zone-Dar/Pwani
Central zone Dodoma
South west-Mbeya
Northeast-Arusha
North west-Kigoma
Hizi zones zote ziwe na Sports Complex/Villages zitazokuwa na
Indoor Stadiums..Za Michezo ya basketball,Netball ,Volley ball na Music Shows
Football Stadium za atleast 20k seats
Na michezo mingine na academy ziatazo integrate michezo ya zones hizo na kuratibu kutafuta na kukuza vipaji..wa zones ..na kukuza michezo kwenye zone hizo
Pia tufufue THT ..na ku improve vipaji vya music na movie production
Vyuo vya UD na UDOM vi improve ufundishaji wa TV and Film making and Acting kwa kutafuta mikataba na ma kampuni makubwa ya nje ushirikiano wa walimu na scholarship etc
Wazo zuri kwa siku za mbeleni