The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
hiv leo tar 10 IMF watakaa kikao cha kuapprove loan to Tanzania au kusamehe ulipaji wa madeni kwa kipindi fulan kilochoombwa na serikali??
Na nimeichukua hii kuiweka hapa baada ya kusoma ile comment yako on debt service relief from IMF.kuna mengine hayajaelezwa.. lbda wametumiana huko kwenye emails.. mana serikali iliomba mda wa kulipa madeni usogezwe mbele ..
View attachment 1474552
Sammata yuko vzr sn on air.
Watch video ujionee jiji,haha dar ni uchafu tupicha moja inaeza onesha CBD westland and kilimani
Ubaya nipicha tu mnaona,maelezo dyo ya maana,Barbara tuko na bora kuliko za kwenye picture
Mna km ngapi za lami?Ubaya nipicha tu mnaona,maelezo dyo ya maana,Barbara tuko na bora kuliko za kwenye picture
websites za serikali yao have been taken down by anonymous
Na nimeichukua hii kuiweka hapa baada ya kusoma ile comment yako on debt service relief from IMF.
Kwa hiyo wanadhani ni “anonymous” Yaani wale hackers? SMH 🤦♂️
kama unaijua hii account, bas utaelewa vizur
Picha gani hio inaonyesha cbd?izo picha zote hakuna mahali kuna cbdpicha moja inaeza onesha CBD westland and kilimani
Hii na ile aliyopaa nayo PM Majaliwa juzi kati ni another level aisee, tofauti ni kwamba cc vyetu ni high quality wao ni second hand tena zilizochoka vby
hapana kitu live broMkuu hii ni Euro Truck au![]()