Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ bakia kusema kwann US na japan wanamadeni wakat hzo hzo nchi zinawadai pesa kibao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ na zinawapa msaada wa chakula kila mwaka

Ukiisikiliza serikali ya Magu inasema deni ni himilivu na wanatoa mifano kama hii wanayotoa wakenya kuhalalisha ukopaji na kuwashushua wanaotoa tahadhari,sasa kwa kasi ya ukopaji sitashangaa mika mingine 5 ya Magu nchi ikaingia kwenye hali hii kama ya Kenya maana tulikuwa tunaambiwa serikali inajenga kwa pesa zake ikajagundulika kumbe ni mikopo nadhani mnafahamu awamu ya 5 kwa mda mfupi imekopa kuliko awamu yoyote yeyote iliyopita ,kwa hiyo ni mapema sana kuwacheka na kuwa na akiba ya manene kama ilivyokuwa kwenye wimbo wa "tunajenga kwa pesa zetu"
 
Wabongo tufike mahala tubadilike,barabara za single lane zimepitwa na wakati kujengwa mijini na ni aibu zaidi kwa jiji kuu kama la Dar yaani hata Dodoma imeanza kuepukana na huu ushamba wakati haina traffic jam kama Dar sas hii inashangaza
 
Honestly, this thing looks ugly[emoji23][emoji23], kama factory flani hivi., is that a train station ama ni glass all round inawafurahisha., this thing looks ugly for real! Weka inside design nione, maybe it will save face.
Hata mimi nimewaambia wanabisha,hapo ili papendeze labda landscaping ifanyike vizuri maana design yake haifananii na station as if ni cultural site fulani inayohifadhi viboko maana hilo ni u bo la kiboko kama kainamii kwenye maji..sorry nitakaowaudhi ila huu ni ukweli..Pia airport ya dodoma wabadili mapema structural building
 
Yeah still some catch up to do...we are focused on various projects tho..tungekuwa hatuinvest sana Air Tz tungekuwa na cash flow kubwa kuweka hio sector
uwekezaji wa serikali unachekesha,ukisoma majumuisho ya hotuba ya wizara ya ujenzi kwa miaka 5 iliyopita imeongeza paved roads za trunk roads roughly 500km zimekamilika,nyingi ziko hatua mbali mbali za ujenzi but how comes pesa yote inaishia kwenye miradi isiyokuwa na impaccts kubwa kwenye uchumi kama ndege na reli na madaraja ya kukatisha ziwani na baharini wakati mikoa ambayo Jk aliiacha bado haijaunganishwa na lami? Serikali ingewekeza pesa za kutosha kwenye barabara ucchumi na maisha ya watu vingeimarika sana lakini kuongezea train speed kwa pesa ndefu sio dili kabisa
 
Wabongo tufike mahala tubadilike,barabara za single lane zimepitwa na wakati kujengwa mijini na ni aibu zaidi kwa jiji kuu kama la Dar yaani hata Dodoma imeanza kuepukana na huu ushamba wakati haina traffic jam kama Dar sas hii inashangaza

Barabara ni 4 lanes, Upande wa pili ndio unafumuliwa angalia picha Vizuri,napita hapa kila siku ndio maana nimeweka hiyo update. Hii barabara yenye lane mbili ni mpya kabisa haikuwepo, kwa hiyo magari yamehamia lane mpya kulia kupisha kujenga upya lane 2 za zamani. BTW ni mradi unaounganisha Daraja la Selander .
 
Hii tabia ya stste kufanya biashara haina afya huko baadae ilimshinda nyerer mashirika na viwanda vya umma vilikufa vyote labda wakikamilisha wakibifsishe ila wakisubili wakiendeshe kitakufa itakuwa hasara,biashara na gpa za darasani ni vitu viwili tofauti
 

mtu nchi sio yake ila anajikuta anaumia kuliko wenye nchi wenyewe [emoji23][emoji38][emoji38]
 

ulitaka afanye nan?
hizi biashara/viwanda za viatu na products za ngozi zimejaa huko dunian.. hakuna ataekuja kujenga huku Africa vipya.. sisi tunajenga kwasababu materials zipo zimejaa tele za kutosha.. baada ya ethiopia sis tunaongoza kuwa na mifugo mingi africa
 
Watu wengine km akili ni ziro sasa ww kizuri kwako ni kipi..au wanacho sema wa kenya....upumbavu mwingine bwana....[emoji848][emoji848]
 
kikifa kama vingine ndo utajua alitakiwa ajenge nanai uzuri past experience ipo kama hutaki kujifunza hilo suala jingine,wewe unachojua ni hizi simulizi tuu lakini biashara ina protokali zake
Jana nilikuwa naangalia tv mfanyabiashara dodoma analalamika serikali kuwalazimisha kuhamia soko la jipya la ndugai..alisema watu wa maofisini wanaamini sana kwenye maandishi na kompyuta zao sijui aliwaza nini yule jamaa
 
Wa kukurupuka utawajua tu
 
Umeulizwa swali unatakiwa ujibu acha blaa blaa zako za siasa, umeulizwa unataka ajenge nani? Km hao wawekezaji wapo miaka yote na hawajajenga, mifugo imejaa mpk inamwagika, kwahyo tuambie hapa ulitaka ajenge nani usituletee hoja za kina Zitto humu
 
Wa kukurupuka utawajua tu
Achaneni naye huyu ni mfuasi wa ZZK [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Umesoma shule gn ww? Mbn unachekesha sn[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ