Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Which country btwn Ke n Tz has propaganda?[emoji23][emoji23] eti kwa pesa za ndani, Kenya haitupendi inaangamiza uchumi wetu, hatuchukui madeni, yet it is increasing.., mumeshindwa kujituma ni kunyosha vidole tu [emoji23][emoji23]
Wazee wa express highway , brt with lipstick , sgr with chang'aa machine . Yaani wanasiasa wa kenya wanatumia terminologies kuwa brainwash halafu mnakubali kirahisi . Wazee wa Chinese 1st class. Nadhaa hii ni side effect ya kula githeri kwa wingi