Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila kitu ulichoandika ni UPUUZI. Feelings zako hazimaanishi kuwa unachosema ni kweli. Nchi yetu ni mwenyekiti wa SADC na kuna fursa nyingi tu ambazo tunazipata kutokana na nafasi yetu kama kusambaza dawa zetu za bohari ya dawa ya taifa ( MSD) pia kusema kuwa EAC tutaambilia patupu, ni Nani anayeongoza kwa project za kimkakati? Sisi Ndio tuliwaibia dili la pipeline kutoka UG, Rwanda kachagua Central corridor kuunganisha SGR yake na bado sisi Ndio tunaongoza kwa project zenye thamani kubwa ya ujenzi EAC. Lia kama unataka ila hakuna utakachosema kitakachobadilisha ukweli kuwa Tanzania is already eclipsing your shitty nation.
Feelings zake nazifananisha na ule msemo wa kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji
 
Wewe jitete, lakini mujifunze kulipa madeni, wacheni kuleta aibu., nyie kua mwenye kiti sadc sio big deal, pia Rwanda kupitia Mh. Kagame amekua mwenye kiti EAC., kalilie mbali kaka, Tanzania iko uchi tunaijua vizuri, viproject vikubwa but no substantial market to justify the labour.
WHİTE ELEPHANTS LOADING.....

Hataki tuu kukubali kwamba...we must lead...and we are there...
 
Do you know how much U.S. owes China?, wewe ni kilaza kweli, just go back to your profession here ya pictures na ushabiki, endelea kuleta vipicha vya electric SGR, vigorofa, 3 level interchange, salenda bridge, kibaha highway, "dream houses etc., niletee latest pictures nishangae. Hapa ndio level yako ya argument,

Tanzania! Tanzania! Tanzania!
Sasa kwa ulichokiandika Unadhani kuwa ndio umeargue kwa level ya mtu elite kweli?? 😂😂😂😂 Kwasababu yeye Ndio kakijibu kisomi Halafu wewe unakuja na insults na kumuuliza swali la kipuuzi badala ya kujibu alichokiandika. Huna sera njoroge. Kunyaland is BROKE!
 
nina furaha tele, nyie ni level ya punda hamuwezi kua Tembo wala farasi, maji gani mnakunywa?., lipa madeni wenyewe kisha we can talk on the same table
Feelings zake nazifananisha na ule msemo wa kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji
 
Wewe jitete, lakini mujifunze kulipa madeni, wacheni kuleta aibu., nyie kua mwenye kiti sadc sio big deal, pia Rwanda kupitia Mh. Kagame amekua mwenye kiti EAC., kalilie mbali kaka, Tanzania iko uchi tunaijua vizuri, viproject vikubwa but no substantial market to justify the labour.
WHİTE ELEPHANTS LOADING.....
😂😂😂😂😂 Sasa mwenye public debt kubwa kati yenu na sisi ni yupi? Yaani vitu unavyosema vinatakiwa kulenga hiyo nchi yenu. White elephants unasema kwetu “zinaload” Halafu kwenu tayari zina “play” Acha ushabiki wa kipuuzi. Kama huna cha kusema ni heri ukae kimya na uendelee ku-like picha za hao nyumbu wenzako.
 
There kweli ni uchungu kuona Kenya iko juu yenyu, keep to your lane, and accelerate good mtafika, Ethiopia kept in their lane wakafika bila kufikiria Kenya
Hataki tuu kukubali kwamba...we must lead...and we are there...
 
Tunalipa na nyie je?., am hoping EAC hamtotuleta aibu ya ndege kushikwa na mkulima ama Canada., na pia raisi wenyu ataacha kupigia mzungu magoti eti asamehewe madeni.,
Mwanaume ni kuchukua loan na kulipa, tena chukua nyingine fanya unalotaka na kisha ulipe., haijalishi kiwango cha loan, la muhimu ni ulipe deni. Respect.
Sasa mwenye public debt kubwa kati yenu na sisi ni yupi? Yaani vitu unavyosema vinatakiwa kulenga hiyo nchi yenu. White elephants unasema kwetu “zinaload” Halafu kwenu tayari zina “play” Acha ushabiki wa kipuuzi. Kama huna cha kusema ni heri ukae kimya na uendelee ku-like picha za hao nyumbu wenzako.
 
Tunalipa na nyie je?., am hoping EAC hamtotuleta aibu ya ndege kushikwa na mkulima ama Canada., na pia raisi wenyu ataacha kupigia mzungu magoti eti asamehewe madeni.,
Mwanaume ni kuchukua loan na kulipa, tena chukua nyingine fanya unalotaka na kisha ulipe., haijalishi kiwango cha loan, la muhimu ni ulipe deni. Respect.
😂😂😂😂 Ati mnalipa? Dunia simama nishuke. Rate mnayotumia kuborrow sio ile mnayotumia kulipa. Magufuli anasupport debt relief kwa nchi zilizoshindwa kulipa madeni na ni kitu kizuri sana. Katika mambo ya uchumi, EGO ni ushenzi tu na Kenya haina pesa za kulipa madeni yake yote.
 
Mwanaume ni kutumia pesa yake mwenyewe kwa miradi mikubwa kama ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa kubwa la UMEME, SGR na madaraja. Tabia ya kupenda kuomba kila mradi ni tabia ya mashoga.
 
nyie ata kulipa madeni ya walimu walio staafu ni balaa., ni promises tu ya ku clear arrears, propaganda is demolished by facts on the ground. Numbers don't lie., EAC mtaambulia patupu, SADC hamuwezi lolote.., mko ovyo kishenzi. Leta picha ya Dar nione three level interchange na BRT, those are your solace so far. Poverty is mental

umeelewa sasa kati ya developed countries na developing countries😂😂😂 wenzenu hawazungumzii maji na umeme na njaa unajifananisha na nchi hzo hzo ndio zinawadai nyinyi 😂😂😂
 
nyie ata kulipa madeni ya walimu walio staafu ni balaa., ni promises tu ya ku clear arrears, propaganda is demolished by facts on the ground. Numbers don't lie., EAC mtaambulia patupu, SADC hamuwezi lolote.., mko ovyo kishenzi. Leta picha ya Dar nione three level interchange na BRT, those are your solace so far. Poverty is mental
😂😂😂😂jubilee tano tena

Na wameshindwa kujenga, miaka mingapi sasa?, poverty mind, mnangoja usaidizi kutoka nje? I knew on delivering nyie wanyonge., 2020 ndio hii inapita bado mko below! Thought many of you projected 2020 mutakua mumefunga mchezo 3level interchange, SGR, bridges, vigorofa na BRT zinawapumbaza deadly masikini wanahurumisha kweli

Mwaga povu yote leo, hatujawai samehewa madeni nyie wanyonge in Africa, sauti ndio kubwa tu, empty debes
vitu vyote unavovitaja hamuna 😂😂😂 ndio maana uchungu umekukamata 💉💉💉 ohh sisi GDP kubwa mavi ya kuku

😂😂😂😂 Ati mnalipa? Dunia simama nishuke. Rate mnayotumia kuborrow sio ile mnayotumia kulipa. Magufuli anasupport debt relief kwa nchi zilizoshindwa kulipa madeni na ni kitu kizuri sana. Katika mambo ya uchumi, EGO ni ushenzi tu na Kenya haina pesa za kulipa madeni yake yote.
wanalipa nn wakat deni linazidi kwenda juu😂😂😂😂👇👇 over 60% ya budget inalipa madeni hewa

Tunalipa na nyie je?., am hoping EAC hamtotuleta aibu ya ndege kushikwa na mkulima ama Canada., na pia raisi wenyu ataacha kupigia mzungu magoti eti asamehewe madeni.,
Mwanaume ni kuchukua loan na kulipa, tena chukua nyingine fanya unalotaka na kisha ulipe., haijalishi kiwango cha loan, la muhimu ni ulipe deni. Respect.
munalipa au munaongeza madeni 😂😂👇👇

Tunalipa na nyie je?., am hoping EAC hamtotuleta aibu ya ndege kushikwa na mkulima ama Canada., na pia raisi wenyu ataacha kupigia mzungu magoti eti asamehewe madeni.,
Mwanaume ni kuchukua loan na kulipa, tena chukua nyingine fanya unalotaka na kisha ulipe., haijalishi kiwango cha loan, la muhimu ni ulipe deni. Respect.
hope umenielewa sasa😂😂👇👇👇

😂😂😂😂 bakia kusema kwann US na japan wanamadeni wakat hzo hzo nchi zinawadai pesa kibao😂😂👇👇 na zinawapa msaada wa chakula kila mwaka

EZ4VLuPWkAE9-7I.jpg
 
Back
Top Bottom