ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
tuambie hapo ni nairobi 😂😂😂😂
tuambie hapo ni nairobi 😂😂😂😂
tuambie hapo ni nairobi![]()

Hahaha
Hata nyinyi mmewahi kusamehewa madeni mengi tu na US,ila hatupigi kelele,hivi more anaume gani unaemwongilea humu wakati sisi ndio tuna wlaisha?Bitter truth,TZ ndio babalao hapa EA kwa miaradi,tumewanyanganya pipeline,mmebaki kulialia,tunajenga bwawa kubwa kuliko yoote hapa EA,tunazalisha chakula more 126% of our consumption wakati mnakufa njaa na kupewa misaada.hakuna kitu kibaya kama kuomba msaada wa chakula kwa mwanaume mwenzio,utadhraulika na mke wako.sisi ndio tuna BRT hapa EA,na ina operate,nyinyi hamna uwezo wa kujenga hata 1km ya barabara kwa pesa yenu binafsi bila mkopo.Na wameshindwa kujenga, miaka mingapi sasa?, poverty mind
, mnangoja usaidizi kutoka nje?
I knew on delivering nyie wanyonge., 2020 ndio hii inapita bado mko below! Thought many of you projected 2020 mutakua mumefunga mchezo
3level interchange, SGR, bridges, vigorofa na BRT zinawapumbaza deadly
masikini wanahurumisha kweli
Mwaga povu yote leo, hatujawai samehewa madeni nyie wanyonge in Africa, sauti ndio kubwa tu, empty debes
![]()
Eti wanaoishi slums hapo Kenya wanasababu zao?zitaje hapa kama sio ufukara uliokithiri ni nini?Uchumi wa kwelimitanzania should join churchil show, day dreaming na vichekesho ndio zenyu
,
Poverty is still your middle name ukubali ukatae, facts are overwhelming, ukiingia Dar it is too visible, low life ni over 70%, of which it is data from propagandist CCM govt, so wale walio taja eti ni 90% lazima watakua sahihi., ccm si wakuaminika
. wachana na slums zetu, wale wanaishi pale wako na sababu zao hauwezi elewa mkenya kamwe. Kenya sihami
![]()
Wapi hii mkuu
Uje ujibu mkuu wapi hii
hiv hii akili wanaitoa wap?
curfews 9pm-4am?? kwamba kirusi kinasambaa sana mda huo 🤦🏽♂️


Eti wanaoishi slums hapo Kenya wanasababu zao?zitaje hapa kama sio ufukara uliokithiri ni nini?




kama mnatulisha tupe chakula bure? 



hamuwezi, wakulima wenyu masikini watakufa kwa ufukara, Kenya ni soko kwao ili wapate hela kidogo wanunue sukari na kupeleka watoto shule., mko ovyo kwa sasa, wacha kupiga kifua, fanya kazi, shughulikia hali yenyu na wachana na Kenya tushughulikie hali yetu. We know our weaknesses nyie mnaficha na kujifanya mko sawa, mficha uchi hazai


Hata nyinyi mmewahi kusamehewa madeni mengi tu na US,ila hatupigi kelele,hivi more anaume gani unaemwongilea humu wakati sisi ndio tuna wlaisha?Bitter truth,TZ ndio babalao hapa EA kwa miaradi,tumewanyanganya pipeline,mmebaki kulialia,tunajenga bwawa kubwa kuliko yoote hapa EA,tunazalisha chakula more 126% of our consumption wakati mnakufa njaa na kupewa misaada.hakuna kitu kibaya kama kuomba msaada wa chakula kwa mwanaume mwenzio,utadhraulika na mke wako.sisi ndio tuna BRT hapa EA,na ina operate,nyinyi hamna uwezo wa kujenga hata 1km ya barabara kwa pesa yenu binafsi bila mkopo.


Yosef Festo unawataja japan na USA hebu angalia hapo pesa wanazowadaiunajifananisha na nchi iko miaka 300 mbele yenu



hatuvitaki, we have our own in a unique way natunajivunia
. Mnajikaza sana to put your best foot forward but still no meaningful progress., picha zitembee kaka wacha kelele


vitu vyote unavovitaja hamunandio maana uchungu umekukamata
ohh sisi GDP kubwa mavi ya kuku


, wamewashika kimawazo watawatala hadi mshike adabu. Vyanzo vya kutega uchumi isn't enough to meet key budgetary allocations sembuse miradi?



I am a critical thinker kaka, baki na shabiki za kipuzi
Mwanaume ni kutumia pesa yake mwenyewe kwa miradi mikubwa kama ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa kubwa la UMEME, SGR na madaraja. Tabia ya kupenda kuomba kila mradi ni tabia ya mashoga.
Hapa ni Singapore #Singida.
World oil prices started declining late last year due to coronavirus pandemic. The article says Angolan economy started declining from way back in 2016. At that time, World oil prices were still stable.Kenya surpassed Angola as sub-Saharan Africa’s third-largest economy in dollar terms, according to International Monetary Fund estimates. Angola has contracted every year since 2016 as oil output declined..
kila sehem mafuta yamepungua gharama na in terms of dollars Angola wanaangukia pua.. mafuta yakirudi wanarudi nafasi yao. pia ujue uchumi wa kenya hautegemei mafuta sana!
Yenye inakufanya ushinde hapa the whole dayHahahaha u must be crazy, which economy?
Hahahaha, Tanzania sio Kenya ambako pesa yote inaingia mikononi mwa politicians, Kenya isingekua rushwa na kulipa mishahara hata kwa MCAs mngeweza kufanya mambo makubwa wenyewe bila kukopo.Hiyo propaganda ya CCM works on retard mindset kama yako, hapo ujanja wa serikali yenyu masikini tunaitambua, wamewashika kimawazo watawatala hadi mshike adabu. Vyanzo vya kutega uchumi isn't enough to meet key budgetary allocations sembuse miradi?
I am a critical thinker kaka, baki na shabiki za kipuzi
View attachment 1471075