Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya surpassed Angola as sub-Saharan Africa’s third-largest economy in dollar terms, according to International Monetary Fund estimates. Angola has contracted every year since 2016 as oil output declined..

kila sehem mafuta yamepungua gharama na in terms of dollars Angola wanaangukia pua.. mafuta yakirudi wanarudi nafasi yao. pia ujue uchumi wa kenya hautegemei mafuta sana!
 
economy of debt
What will you say of USA or Japan?., economy zao si ndio za madeni zaidi, maybe hauna taarifa, debt to GDP ratio ya Japan is almost 100% or more last I checked, US are having the same situation, learn economics., nilikuambia chukua admission form Dodoma University I sort you fee.

Anyway, u hali gani bro?.,
 
Wewe mpumbavu, watu baada ya kazi wanapenda starehe usiku, lazima control iwe. sio kama Tz Monday to Monday ni kuhepi, usiku na mchana, wengine utawapata beach wamezubaa na kuogelea weekdays wakati wa kazi. Kenya sio dead state.
hiv hii akili wanaitoa wap?
curfews 9pm-4am?? kwamba kirusi kinasambaa sana mda huo
 
Sasa mbona mshaanza kulia lia kule twitter wakati JPM kwenye hii clip alikuwa anazungumzia nchi zilizo weka lockdown!

Halafu hii clip ni mwezi uliopita lakini imeanza kutrend kenya nzima.

Mi ndio naiona leo basi
 
Cku hz nmeidharau sn kenya yn nairobi ni vumbi kushoto kulia, zikiwekwa picha za Dar humu unakuta inang'aa lkn ya Nairobi ni vumbi mtindo mmoja, wana maisha ya kijijini mno.
Tukileta videos za youtubers mnasema camera zao mbovu
 
Unatamani ingekua ni Tz., naona eti mko top 10 in Africa, ama IMF wamewaonea hawapendi Magufuli, ina maana Tz should be hiyo number 3 sio Kenya, with BRT, 3level interchange, bridges, vigorofa, na sgr ya umeme, kweli mko na GDP, IMF inawaonea sana, imeweka Ghana juu yenyu, kaka hiyo ni dhulma, msikubali
Hahahaha u must be crazy, which economy?
 
Nenda shule, coz u didn't. Naona wazazi wako waliuza ng'ombe wakasomesha ng'ombe ingine. What is the essence or role of public infrastructure in an economy? kojoa ukalale.
Hahahaha, talk a little bit about your SGR before you talk about your hopeless Lamu port project, is your SGR project successful?
 
Uchumi wa kweli mitanzania should join churchil show, day dreaming na vichekesho ndio zenyu,
Poverty is still your middle name ukubali ukatae, facts are overwhelming, ukiingia Dar it is too visible, low life ni over 70%, of which it is data from propagandist CCM govt, so wale walio taja eti ni 90% lazima watakua sahihi., ccm si wakuaminika. wachana na slums zetu, wale wanaishi pale wako na sababu zao hauwezi elewa mkenya kamwe. Kenya sihami
Uchumi wa kweli upo tz tu, kama wewe mlinzi unabisha basi nionyeshe kambi gani ya wakimbizi hapa Africa inafikia level ya maisha duni ya slum za Kenya haya hapo Nairobi
 
Facts zikitoka ionekane wako chini ya Kenya utaona povu, Kibera n other slums ndio tulizo kwao, get a picture of kibera uweke humu, watatulia, it makes them think eti wako sawa
naona umekasirika, makajamba mpo
 
Facts zikitoka ionekane wako chini ya Kenya utaona povu, Kibera n other slums ndio tulizo kwao, get a picture of kibera uweke humu, watatulia, it makes them think eti wako sawa
Walikimbia mbio kuleta hyo kitu bila kuangalia ni kina nani wametop..
Baada ya kuona hapo kq list ni ndume tupu, sasa wameanza vijembe
 
What will you say of USA or Japan?., economy zao si ndio za madeni zaidi, maybe hauna taarifa, debt to GDP ratio ya Japan is almost 100% or more last I checked, US are having the same situation, learn economics., nilikuambia chukua admission form Dodoma University I sort you fee.

Anyway, u hali gani bro?.,
LOL US and Japan borrowed from their own treasuries and they have significant amounts of money credits lended to the rest of the world

Sasa ninyi takataka mnaanzaje kujilinganisha nao? Hivi hujisikii aibu au upungufu wa akili kujilinganisha nao kwa suala lolote linalohusiana na uchumi?
 
What will you say of USA or Japan?., economy zao si ndio za madeni zaidi, maybe hauna taarifa, debt to GDP ratio ya Japan is almost 100% or more last I checked, US are having the same situation, learn economics., nilikuambia chukua admission form Dodoma University I sort you fee.

Anyway, u hali gani bro?.,
USA and japan are developed countries huwez kujifananisha nao hata yesu arudi sasa hvi haitawah tokea wao wako dunia ya kwanza ww uko dunia ya mwisho inayoitwa failed state😂😂😂😂😂 jifunze kutafautisha develeped countries and developing countries hope u know😃😃
 
Back
Top Bottom