Yosef Festo unawataja japan na USA hebu angalia hapo pesa wanazowadai😂😂👇👇 unajifananisha na nchi iko miaka 300 mbele yenu
hawezi kurudi 😂😂😂😂Uje ujibu mkuu wapi hii
mutalipa wapi wakak world bank na IMF inawaonya juu ya debt au huelewi wewe tulitegemea kulipa deni linapungua kwenu linaongezeka 😂😂😂😂Haijalishi, tutalipa tu KQ haitashikwa![]()
which unique overpass munaita interchange au😂😂😂😂😂hatuvitaki, we have our own in a unique way natunajivunia
. Mnajikaza sana to put your best foot forward but still no meaningful progress., picha zitembee kaka wacha kelele
![]()
😂😂😂😂 eti anauliza deni la japan hvi japan anazungumzia maji na tiba ?? wanaupuuzi sana kichwani😀 Sasa wamebaki kama malaya aliekunywa bia za wanaume, wanaanza kulipa bia za watu kudadeki watasuguliwa suguliwa na mitambo ya madeni hawatasahau
In many ways Kenya is doing well. This is Rongai.Boss hko ni upcountry, kwhyo usilie
Weka evidencesnyie ata kulipa madeni ya walimu walio staafu ni balaa., ni promises tu ya ku clear arrears, propaganda is demolished by facts on the ground. Numbers don't lie., EAC mtaambulia patupu, SADC hamuwezi lolote.., mko ovyo kishenzi. Leta picha ya Dar nione three level interchange na BRT, those are your solace so far. Poverty is mental
![]()
Hatukurupuki tunatelekeza law kufuata Ilani ya chamaNa wameshindwa kujenga, miaka mingapi sasa?, poverty mind
, mnangoja usaidizi kutoka nje?
I knew on delivering nyie wanyonge., 2020 ndio hii inapita bado mko below! Thought many of you projected 2020 mutakua mumefunga mchezo
3level interchange, SGR, bridges, vigorofa na BRT zinawapumbaza deadly
masikini wanahurumisha kweli
Mwaga povu yote leo, hatujawai samehewa madeni nyie wanyonge in Africa, sauti ndio kubwa tu, empty debes
![]()
😁😁😁😁😁😁😁Buda boss I know many slum dwellers who earn good salaries, and can afford a 15k to 25k apartment, but wanaishi pale ili wa save more money to establish themselves in their home counties. Most save and build nice homes kwao mashambani. Wengine come from good family backgrounds, mjini wanaenda ku hustle sio ku starehe., they make money but live in cheap houses to save and invest outside Nairobi then they leave., pengine wenye kuzaliwa pale are the real ghetto people, which are not many, wengi ni hustlers from masginani and as far as Burundi and Congo, Mathare utapata wa Ethiopia kwa wingi wamekimbia makwao wanabangaiza pale na waBurundi pia. Watanzania wengi wako Kibera na Kawangware(hapa unaeza pinga but it is very true), I know some ni boda boda riders operating within south C na Nairobi west estates, na wengine wana tembeza vitenge mjini, na hawasumbuliwi, ingekua ni wakenya wanafanya vile Tanzania mngekua mmewafukuza
Kuna slum dwellers richer than you, amini usiamini, jamaa ako na plan yake., anyway wengi wenyu hampendi ukweli, you may not believe what am saying, so take it or leave it. Have a blessed Sunday.![]()
magu ataua watu👇👇👇🤩🤩
Estate zao nyingi hazina miti, hii haiwezi kuwa Nairobi. Hizi nyumba ukizoom zina quality huwezi Linganisha na mabanda yao
kuna watu humu walisema wana ICU beds 518 sijui 350.. wakat wanazo around 230
ishu ya ICU beds ndo debate ya wanakenya huko twitter
here is the some of the list