Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karibu utokwe na machozi. Pole sana ndugu mtafika tu hapo.
nimecheka sana leo kwamba zile ndio interchange basi munakazi ndefu sana mbele 😂😂😂😂 ubungo imewakata makende naona twitter huko watu hawana hamu
 
Fool, this is not Kunyaland! U don't drive on the right lane!
Take it easy Methuselah. I know you are just bitter you don't have such in Dar. He has confused it with Lang'ata road interchange below. You can see the similarity between the two in design and even the neighbouring area so be easy
images (14).jpeg
 
Parts of Nairobi has red soil. So unaexpect barabara iwe na rangi ya blue? Alafu picha yenyewe umeweka filters kilo kumi just to drive your point home. Desperation has taken a toll on you.

That's Kariobangi interchange na ndio hii hapa bila hizo makeup kilo kumi zako
View attachment 1465893
Ila Wakenya hz interchange zenu heheheheheeee Mungu anawaona mjue
 
Parts of Nairobi has red soil. So unaexpect barabara iwe na rangi ya blue? Alafu picha yenyewe umeweka filters kilo kumi just to drive your point home. Desperation has taken a toll on you.

That's Kariobangi interchange na ndio hii hapa bila hizo makeup kilo kumi zako
View attachment 1465893
Interchange ubungo bil200 ss cjui km hii yenu apa inafika hata bilioni 1
 

Pangani Interchange (Nairobi) | bridge, highway interchange / exit

Kenya / Nairobi / Nairobi

bridge, highway interchange / exit




This comprises of a three-level road interchange comprising of an overpass from pangani towards Forest road, and a tunnel from Thika road, crossing over to surface again on Muranga road, and branching midway to surface also on Forest road. Service lanes are on ground level serving multi-directional roads.


Wikipedia article: http://en.wikipedia.org/wiki/Pangani_Interchange
Nearby cities:
Coordinates:
1°16'0"S 36°50'3"E
Add your comment in english

For interchanges Here is the list
1. Pangani interchange
2. Museum interchange
3. Thika road Ring road interchange
4. Mombasa road- souther bypass interchange
5. Rironi interchange
6. Donholm interchange
7. Lungalunga road- Likoni enterprise interchange
8. Thika road outer ring interchange
9. Western bypass interchange
10. Gitaru intedrchange
11. Ndenderu interchange
12. Ole sereni interchange
13. Ruiru interchange
14. Athi River interchange
15. Wangige interchange
16. Mombasa road- Kitengela junction interchange
17. Mombasa road - Namanga interchange
18. GSU Interchange
19. Ruaka interchange
20. Lower Kabete interchange.

  • For Wealth, Nairobi is worth $54b while Dar is $ 25. That`s staggering difference of $ 30b
  • View attachment 1465885
Interchange nnayoijua mm ipo ubungo hz nyngne zinafaa kuitwa daraja, interchange bilioni 200 ss hapo kwny hyo pesa unapata uchafu ngp km hz zenu
 
Kuna mjinga mwingine hapa hajui tofauti ya Capacity na PAX.😂😂😂
 
Back
Top Bottom