Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaha is that interchange ??? sinilikwambia hujui maana ya interchange ww unafkiri githeri hio
Tangu lini wewe ukaelewa Kiingereza? If I ask you to define the term interchange utaweza? Hiyo interchange ndio hii hapa in full just in case you didn't get a full view of it
2331961_20200310_075346.jpg
 
Mwenye ako na interchanges mbili pekee the whole Country atajuaje meaning ya interchange? Tulia nikuonyeshe all the 20 interchanges in Nairobi.
Tatizo sio eti wako na mbili pekee yake. Tatizo ni kwamba kizungu ni kizungumkuti kwa huyu kijana. Hata wangekuwa nazo Mia moja hangeelewa maana ya interchange ni nini
 
Tatizo sio eti wako na mbili pekee yake. Tatizo ni kwamba kizungu ni kizungumkuti kwa huyu kijana. Hata wangekuwa nazo Mia moja hangeelewa maana ya interchange ni nini
By the way hata meaning ya three level interchange imemlea. Anadhani lazima ikuwe kama yao ndio inaqualify to be called three level interchange. 😂 😂
 
yani overpass unasema interchange 😂😂😂
So what's the difference between the two? An overpass is a bridge on which a road or even railway line passses over another. Or in simple terms, a structure that carries one road over another. Doesn't an interchange have a road passing over another? Utaelimishwa hadi lini wewe?
 
Back
Top Bottom