Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania mtafika tu hapa usijali.

Angalia vzr umeona nn? [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1585207998048.jpeg
 
Sumbawanga
Ujue Tz kwa hapa tulipofika kwakweli inashangaza sana, yn miradi mingine mikubwa kama hii wala haizungumziwi lkn kumbe ipo, heheheheheeee tunackia imekamilika tu, hili ni jambo la kupigiwa mfano sn yn kila kona kuna miradi ya adabu, kweli tunakwenda kwenye real middle Income by decentralizing development [emoji122][emoji122]
 
dadeki yani kenya hapa itawachukua miaka 100[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukishamaliza miradi yetu ya kimkakati, ss ndiyo kazi rasmi ya kuitafuta nchi ya ahadi inaanza, mbn watajuta kumfahamu Magu, mana tumepiga pini kila angle mfano kwenye Avocado crop now hakuna kuja kuchukua na kupiga lebo kwenda kuwaongopea wazungu kwamba linatoka kenya, now straight from Tanzania to abroad maanina, this is new Tz, a.k.a industrialized state, watajua hawajui[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom