Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lazima viongozi wote waje kujifunza hapa, hii ni nchi ya watu wenye akili zaidi ukanda huu, huwa hatukurupuki kwenye mambo yetu, wagonjwa wa4 tu wamebaki na hakuna cha barakoa wala ushuzi wa barakoa maamaee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

WAZIRI UMMY ATAJA IDADI YA WAGONJWA WA CORONA WALOBAKI
Screenshot_2020-06-02-08-59-40.jpeg
 
Yani hii miaka miwili ndo tunaenda kuzika hii battle rasmi, mana km wameshindwa kuhimili kishindo cha bwana mdogo ubungo interchange je wataweza kuhimili vishindo vijavyo vyenye ujazo [emoji3][emoji3][emoji3]
Itabidi wazoee tu maana hakuna namna sasa [emoji23]
 
Angalia Video halafu fananisha na alichosema: LIKE EUROPE[emoji23]. Sijui Europe eneo gani [emoji23].
Na ndiyo maana ckujisumbua kuangalia nilijua tu ntakutana na pori, nimeangalia sekunde 10 tu imeniboa nkaachana nayo
 
Back
Top Bottom