Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let me give you a teaser. The only clover interchange in East Africa
View attachment 1465895
Acheni ubahili tengenezeni vitu vya kisasa co huo uchafu, we huni km huo ni uchafu we jamaa, angalia tofauti
tapatalk_1586709377909.jpeg
 
Ndio usisahau pia wakenya waliowekeza tanzania ni wengi kuliko nyinyi hku kenya..

Kwhyo kabla uanze kuumia, meza dawa tu upunguze maumivu..
Manake km ni ishu ya kuwwkeza ea yote wakenya wamewekeza hadi wanawanyelea watu wa central afrika
Ss kenya tukawekeze nn, wananchi hawana pesa, nchi kame, tukawekeze nn ss.
 
Maamaeee, yn kweli mm noma nimehesabu kawaida tu bila chenga af ikawa kweli, hii niliona ina 29 baada ya kuweka namba inaonekana ni 30, na hili ni refu kuliko yale mengine haya leta yale nayo
Ushabiki ni mbaya jamani. 😂 😂 kwa hivyo hapo Umehesabu ukipata tu 30!??? Hebu hesabu vile Teargas alivyofanya tuone hizo 30 zako
 
Ss kenya tukawekeze nn, wananchi hawana pesa, nchi kame, tukawekeze nn ss.
Bwahaha!!imekuuma kweli
Watu wanatoka overseas na wanakuja kuwekeza kenya katika hao hao wananchi ambao hawana pesa wenye hyo ardhi kame
 
ndugu yako kaulizia akapata jibu umedandia treni😂😂😂😂😂
Wapi jibu amepata? Hata mimi nangoja hiyo siku itahandle hata 3m. Yeye anangoja 7m which is namba kubwa sana which is a dream to you. I'm only waiting for 3m.
 
Back
Top Bottom