Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

6043188535

6043188535-00

wacha wivu mshikaji! Wapi zilizoandikwa kichina Kunyaland? Au unafikiri hizo ni ile mitungi yenu ya chang'aa SGR Kenya?
Nashukuru umekiri kushindwa,
Wakati mwngine fikiria kabla ya kuandika utumbo
 
This is not Kunyaland again look at those arrows on the lanes u don't drive on the right!
Sorry mate. I know it's hard to believe it but that's Nairobi, Kenya na hiyo ni Southern bypass interchange. Kojoa ulale sasa 😂 😂
images (12).jpeg
 
hizi ndo mnaziita interchanges?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣
ndo mana mmekaa kiwizi wizi
nakwambia we acha tu nimecheka sana 😂😂
 
Sikujua ile overpass ya pale mloganzila nayo n interchange kwel leo kuona mengi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
😂😂😂😂kwao overpass ni interchange yan ubungo imewatibua kweli kweli hawana hamu
 
Back
Top Bottom