Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafuta dakatari wa macho
Maamaeee, yn kweli mm noma nimehesabu kawaida tu bila chenga af ikawa kweli, hii niliona ina 29 baada ya kuweka namba inaonekana ni 30, na hili ni refu kuliko yale mengine haya leta yale nayo
 
Dar inatiwa viboko hadi shida
giphy.gif
 
umerudia upuuzi wako nakuuliza 😂😂😂 kwenye interchange mushakalia kuti kavu sasa umerudisha matumaini huku
Nairobi has over 20 interchanges while Dar only has two. That means Nairobi is ten times better than Dar in terms of interchanges.
 
wew ni zero brain!!

anza upya kuhesabu..
hio floor kati ya 23 na 24 sio floor?
ulipoandika 28.. nenda hilo jengo la pili uendelee kuhesabu 29 mpka chin
That building is 29 floors.
 
Over 30 floors
Nairobi 11 Vs Dar 6

Interchanges.
Nairobi 20 Vs Dar 2

Wealth
Nairobi is 30b richer than Dar

Airport
JKIA 7M PAX Vs JNIA 1.5M PAX

Malls
Nairobi 30 Vs Dar 3
hebu nioneshe interchange 20 za nairobi 😂😂😂😂😂😂 kisa hamuna three level unatapika kama demu mwenye mimba

over 30 bado uharo unakutoka mamaee ulikimbia mziki hapa umekuja kujipa matumaini leo


ukiniletea official source inasema nairobi is 30b richer than dar mm nafunga acc jamii forum


bado unazungumzia Airport 😂😂😂 hamukomi tu au ndio style ya kujipa matumaini


sijaona ukizungumzia no of millionares vp kulikoni???😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom