NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
mi nataka aongelee SGR phases zilizobaki! Hao majirani asiwaüe mileage! Halafu inakaa mkulu haivi na Uhuru...lazma kutakuwa kuna kitu nyuma ya pazia, hatujui!tutegemee kusikia dongo la kwenda kwa majiran au Africa kuhusu corona![]()
Kuanzia kesho sehemu iliyokamilika ya ubungo interchange itaanza kutumiwa.
aliwanyima deal la coal wapi?lile swala la isaka-kigali mdudu (USA & co) ameshaanza kusumbua AfDB, wanataka kumng’oa pres wa afdb .. nasikia aliwanyima dili la coal
Na hii pia ilikuwa design. The bridge has to be high enough to allow sea vessels to pass through there. I wonder if a sea tunnel is viable? 🤔View attachment 1462530
just a few
Nigeria
picha moja zile zingine mbona hukuziona au 😂😂😂😂 nikikwambia watu wanamiliki na kujenga nyumba za ndoto zao huamini au😂😂😂Baada ya kulia kwa siku tatu kuhusu apartments Nairobi, mkiulizwa picha za DAR, pia kumbe ziko, unaona vile hua mko na unafik lakini?
![]()
Labda wanafikiri Amina Mohammed atapewa hiyo nafasihawa kenya nao wanapelekeshwa sana na hao USA.. waogawaoga sana, wasaliti hawa
USA will terminate its relationship with WHO
sijawah kuwakubali hawa jamaa hasa Trump, wanajikuta bila wao dunia haiwezi kuishi
wish Trump asirudi kweny urais in November
Wameshajitoa mkuuUSA will terminate its relationship with WHO
sijawah kuwakubali hawa jamaa hasa Trump, wanajikuta bila wao dunia haiwezi kuishi
wish Trump asirudi kweny urais in November





Kwetu appartments co kipaumbele kwa ss, af ckia nikwambie, co km napinga ujenzi wa appartments, ni kwamba muda ukifika wananchi wakawa na uwezo wa ku afford kununua au kupanga kwenye hzo appartments ni lazima zijengwe, Magu aliwahi sema pale bungeni kwamba anataka kuitengeneza Tz ya uchumi wa kati ambayo hata ukiangalia sura za wananchi zinafanana fanana na uchumi wa kati, ss uchumi wa kati haufikiwi kwa kujenga appartments mana hapo utakuwa ndo kwnz unaongeza gepu na co kupunguza, na ndiyo maana tunafanya miradi ya kimkakati kuhakikisha wananchi wana uwezo wa kununua au kupanga kwenye hzo appartments zen zinajengwa tu, km tunaweza kufinance miradi yenye thamani ya mpk trilioni 7 ndo tushindwe kujenga appartments kweli?
Nothing new in the big fishing village. Circles tu., ni angles., Dar is Tz, Tz is Dar(picha yote iko humu), outside Dar ni kujaribu kujikweza tu, nothing with meaningful value like Mombasa hiviMbona nyote mnanipostia picha zile zile, Si mlisema DAr ni kubwa, wewe na ichoboy01 picha ni zile zile, sikujua Dar ni ndogo kiasi hiki![]()
,Bro, hii picha usiichukulie poa, tuitumie kupiga bakora hawa nyang'au wakileta zile zao za LDC
Sidhani kama atapita!