Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Enyewe inauma nkiona watanzania 200 wakijaza bus moja(wengi wao husimama) alafu wanawika BRT...BRT haga
Una wa aibisha wa Kenya wenzako na taifa lako , naomba kwa upole nikueleweshe ili usiwafedheeshe your fellow Kenyans , izo sio matatu ,usafiri unaotumika DSM ni international standard, magari yale yamekuwa design kwa watu kusimamma ndio maana kuna kamba na chuma za kushika na viti vichache ka ajili ya dharula kama mama mja mzito,wazee,walemavu,watoto,watu wenye watoto n.k
Naomba usiuluze tena maswali yanayo kushusha thamani
 
Oysterbay!!! Bongo
16674583506_345669d6c8_b.jpg
 
Back
Top Bottom