The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Unaongea kiswahili kibovu wala huelewekiLol. Cheka tu ukijifanya mwerevu.
Magufuli atafunzwa diplomasia kama mtoto. Simu moja akachekeshwa na Kenyatta akafungua. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uerevu uliyo Kenya ndio umefanya tukulie Kilimanjaro tangu uhuru ilhali Kilimanjaro iko Tanzania.
is this construction boardπππππ kojoa ukalale wewe
Wakati unasubiri 2022, itabd uje kwnz huku ushangae [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Kanye ulale. Lakini kumbuka kuweka nauli ya 2022.
Unaongea kiswahili kibovu wala hueleweki
Oohh sory nilisahau kumbe we ni mjaluoUsijali. Kiswahili natumia hapa JF pekee yake.
Wakati unasubiri 2022, itabd uje kwnz huku ushangae [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1456048
Kei vs tized.nani hapo kaonesha anaakili sanaReli yetu 90% ni ya kubeba mizigo.
Locomotive tatu tu ndizo za abiria, kati ya locomotive 35.
Abiria sio priority.
Analysis: Ethiopia Unveils 750 Kilometre Electric SGR.. But is it Better Than Kenya's?
Kama unalinganisha, linganisha na locomotive za cargo kwingineko.
View attachment 1456058View attachment 1456059
Usimwamini sana Magu kwenye hili la wakenyaππMagu kawahi kusuruhisha mapema.. tungewapa wiki mbili hiv waonje shughuli yake
Kei vs tized.nani hapo kaonesha anaakili sanaView attachment 1456078View attachment 1456079
Sent using Jamii Forums mobile app
is that construction boardππππbado tafuta ukupata mm nafunga acc jamii forumKanye ulale. Lakini kumbuka kuweka nauli ya 2022.
akili yako wewe sio salamaππππHizi mbili tofauti yake nini?
Kwenye design, zinatofautiana kitu asilimia 10%.
Wakati unasubiri 2022, itabd uje kwnz huku ushangae [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1456048
alaf cholera inawaua 2020 zinamsaada gani kwa wakenya??? tanzania cholera nina miaka mitano sijaisikiaHakuna lolote unajua kuhusu Kenya. Ndio maana unadhani Tanzania ulaya.
View attachment 1456030
List ni ndefu kuliko hii.
Hawa ni purely manufacturers. Sio importers ama distributors.
Benmed Pharmaceuticals
Beta Healthcare International Limited
Biodeal Laboratories Ltd.
Bayer East Africa Limited
Biopharma Limited
High Chem East Africa Ltd
Alpha Medical Manufacturers
Comet Healthcare Limited
Cosmos limited
Ivee Aqua EPZ Limited
Aventis Pasteur SA East Africa
Concepts (Africa) Ltd
Dawa Ltd.
Didy Pharmaceuticals
Elys chemicals Industries Ltd
Gesto pharmaceuticals Ltd
GlaxoSmithkline [GSK ]
Njimia Kenya
Regal Pharmaceuticals
Manhar Brothers (Kenya) Ltd
Novartis Rhone Poulenic Ltd
Phillips Pharmaceuticals Limited
Hightech Pharmaceuticals and Research
Infusion medicare
Jaskam & Company Ltd
Laboratories & allied (Lab &allied)
Kam Industries Ltd
Macβs pharmaceuticals
Sphinx Pharmaceuticals ltd
Universal Corporation Ltd
homa ya jiji hio πππkitu mpka makutupora View attachment 1456119
C juzi tu lilitua Rwandair [emoji3][emoji3][emoji3][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
ET flies to Mwanza too
We acha tu yn alaf Wakenya bado wanajiliwaza wanadhani hii ni Tz ya JK [emoji3][emoji3][emoji3]hatimae tunaipandisha mwanza airport kuwa international airport .. pia hilo soko la samaki litakuwa soko endelevu kuanzia sasa
Subiri utaona tofauti yake ni nini, zen ndo utajua kwnn bei zake ni tofauti km mafuta na maji.Hizi mbili tofauti yake nini?
Kwenye design, zinatofautiana kitu asilimia 10%.