jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 863
- 850
Tuonyeshe hizo lounge za hayo makampuni ya mabasi tuone please. Kama kitu hakuna huko unakubali tu ukweli. Nasema usilazimishe nyeupe kuwa njano ebo!
Hawa jamaa wabishi sana juzi walikuwa wanafananisha mitungi na Tarent 3
... But moyoni ukweli unawachoma Sent from my iPhone using JamiiForums

ziendelee kusubiri dawa.