Mitambo ya chang'aa imepaki hapo 😀fikra zao ziko nyuma miaka 100😂😂 we huoni hata mchina alipowajengea reli na treni za 100 yrs ago walishangilia
View attachment 1455272
Urais ni kazi nzuri km huwajibiki ila ni kazi ngumu kupita mfano km unawajibika, namuona Uhuru nchi ikimfia mikononi kila sehemu kuna toboila serious nimecheka kwa nguvu


Wacha weeee, mwaka huu wamejenga ngapiUKwanajenga kila kukicha*
Si mfanye km vile mmefanya kw korosho, serikali inunue halafu ifanye biashara wakulima walipwe 2030aibu naona mimi


Tuonyeshe hizo lounge za hayo makampuni ya mabasi tuone please. Kama kitu hakuna huko unakubali tu ukweli. Nasema usilazimishe nyeupe kuwa njano ebo!Kwn kampuni ijitengezea waiting lounge yake kuna shida gani, mambo ya zamani hayo..
Sio basi eti tunapangiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaaaaani mchina si mtu mzuri kabisa. Hzi si zilikuwa steam engines za miaka ya 1920 sema mchina kazibadili tu mfumo toka steam kwenda diesel engine. 😀😀😀😀fikra zao ziko nyuma miaka 100😂😂 we huoni hata mchina alipowajengea reli na treni za 100 yrs ago walishangilia
View attachment 1455272
Nasikia Eng Simon au ndio huyu wa humu![]()

sio mim.. i’m not in a construction industry!Because Kenya has modern infrastructures since 80s like electric sgr, cable bridges, beautiful and modern interchanges like three level interchanges, modern public transport like BRT, modern shipsbut km huna hvyo vitu mpk leo bac ujue ww ni ldc typically, and take it, there's land reclamation in Tz
.
hahahaha basi muko nyuma miaka 100 ndio maana hata mchina kawajengea reli ya miaka 100 iliopita kwa ghrama ile ile ua kujenga reli na treni za 2020😂😂😂😂 unajua kwann kafanya hvo kwasababu muko nyuma miaka 100 bado