Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

Hata zile Saudi Arabia anazoua nazo watu kule Yemen zina mambo ya kishirikina?
Vipi kule Afghanistan, Syria, Mozambique, Congo, Sudan, iliyotumika kumshambulia Tundu Lisu, iliyoua Aqwilina?

Hebu tuambie kwanini umeona hiyo silaha ina mambo ya kishirikina
usisahau na zile za waisrael zilizoua watu kule palestina hivi karibuni.
 
Hayasifii bali yanaruhusu unywaji wa kileo.

Kum 12:20‭-‬21 SUV

BWANA, Mungu wako, atakapoongeza mpaka wako, kama alivyokuahidi, nawe utakaposema, Nataka kula nyama, kwa kuwa roho yako yatamani kula nyama; waweza kula nyama, kwa kufuata yote inayotamani roho yako. Na mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako, apaweke jina lake, pakiwa mbali nawe mno, ndipo utakapochinja katika kundi lako la ng’ombe na kondoo alilokupa BWANA kama nilivyokuagiza, nawe utakula ndani ya malango yako, kwa kufuata yote inayotamani roho yako.

1 Tim 3:2‭-‬3‭, ‬6 SUV
Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha; Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.

Kum 14:22‭-‬26 SUV

Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Nawe utakula mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng’ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wako, daima. Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako; ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako; na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng’ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;

CC Mshana Jr
Bila Shaka nilisema mpe kileo masikini ili asahau shida zake kwa muda tu. Sasa narudia pombe si nzuri na nimbaya kwa maamuzi haswa kwa hawa wafuatao, (a) walinda usalam(b) waamuzi(c) wafalme na wakuu wa desturi na Mila. Pombe ni mbaya.
 
usisahau na zile za waisrael zilizoua watu kule palestina hivi karibuni.
Hizo silaha zikishatumika huko ndio hukusanywa na kuja kuuzwa mtumba Afrika kwenye 'black market' na kuingizwa lwenye vikundi vya kigaidi, makundi ya wahuni wauza unga, wafanya magendo, majeshi ya kukodishwa(mercenaries) nknk
 
Bila Shaka nilisema mpe kileo masikini ili asahau shida zake kwa muda tu. Sasa narudia pombe si nzuri na nimbaya kwa maamuzi haswa kwa hawa wafuatao, (a) walinda usalam(b) waamuzi(c) wafalme na wakuu wa desturi na Mila. Pombe ni mbaya.
Nadhani tumeaswa kuwa na KIASI kwenye kila jambo na kwenye kila kitu.. Chochote kinachozidi kiasi si kizuri hata chakula
 
Nadhani tumeaswa kuwa na KIASI kwenye kila jambo na kwenye kila kitu.. Chochote kinachozidi kiasi si kizuri hata chakula
Nimekuelewa vizuri. Kwa ufupi maandiko yanatoa taathari kwa swala la pombe na si kusifia, swali langu halina jibu ndani ya maandiko matakatifu; yanayo sifia pombe eti!.
 
Nimekuelewa vizuri. Kwa ufupi maandiko yanatoa taathari kwa swala la pombe na si kusifia, swali langu halina jibu ndani ya maandiko matakatifu; yanayo sifia pombe eti!.
Hakuna iliposifiwa kwa maana ya kuipa daraja la sifa husika
 
Katika makosa ninayo mwomba MUNGU ni hilo la kutokusahau kumtukuza na kumwomba, heri nisahau kula usiku lakini nikumbuke kusali na kushukuru kwa yote anayo nitendea. Asante mtumishi kwa kunikumbusha Ubarikiwe.
Usiku una mengi... Malaika mlinzi awe nawe..!
 
Hivi hata Wazungu wanaonunua silaha kwenye Maghala (Arsenal) zao pia wanazingatia hili au wananunua wakizingatia mambo ya Kafara au kiroho?

SIAMINI HILI...!!!

Silaha ni Object iliyotengenezwa kwa materials flani like Aluminium, Iron etc. kwa kazi mbili tu

1) Kujeruhi
2) Kuua

Na inauwa kwa kukusudia kabisa au kwa uzembe.

That's all about....!!!

SWALI: Kama ni hizi bunduki za kuuwa wanyama kama mbogo, Tembo n.k zinabeba Makafara pia baada ya kuuwa wanyama?

Kwa Case ya Alex Koroso na S'body Mushi ni ULEVI ndio chanzo cha vifo vyao
 
Azarel naona unahoji unatoa maelezo unafafanua unafikia conclusion ya kwamba HUAMINI lakini baadae unakuja na mwaswali huoni kwamba unajichanganya?
 
Back
Top Bottom