Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

Mshana wakumbushe kuwa kuna ulimwengu wa roho giza na ulimwengu wa roho nuru, ulimwengu wa roho ni halisi na kila jambo linaanzia kwenye ulimwengu wa roho giza au nuru. Tukio lolote linathibitika kakika ulimwengu wa mwili, baada ya kukamilishwa uko rohoni, ulimwengu wa roho giza unamilikiwa na shetani na mawakala wake efeso 6:10-18
 
Hayasifii bali yanaruhusu unywaji wa kileo.

Kum 12:20‭-‬21 SUV

BWANA, Mungu wako, atakapoongeza mpaka wako, kama alivyokuahidi, nawe utakaposema, Nataka kula nyama, kwa kuwa roho yako yatamani kula nyama; waweza kula nyama, kwa kufuata yote inayotamani roho yako. Na mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako, apaweke jina lake, pakiwa mbali nawe mno, ndipo utakapochinja katika kundi lako la ng’ombe na kondoo alilokupa BWANA kama nilivyokuagiza, nawe utakula ndani ya malango yako, kwa kufuata yote inayotamani roho yako.

1 Tim 3:2‭-‬3‭, ‬6 SUV
Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha; Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.

Kum 14:22‭-‬26 SUV

Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Nawe utakula mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng’ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wako, daima. Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako; ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako; na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng’ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;

CC Mshana Jr
Hayasifii bali yanaruhusu unywaji wa kileo.
 
Pia mtu aliyejingonga,kuna watu hua wanachukua baadhi ya vitu vyake! Kama vile kinyesi,Uzi wa nguo aliyovaa au yake mate,au lile povu! Duniani kuna mambo sana!

Watu pia huchukua maji yalitumika kuoshea maiti! Nilipewa story moja na jamaa yangu,kuna Maza mmoja alikua anatumia maji ya maiti kumix kwenye vitumbua alivyokua anachoma! Huwezi amini watu walikua wanapanga foleni,hawaendi kwa wauza watumbua wengine!

Maisha haya jamani
Maji ya kuoshea wafu yanatumika sana kwenye biashara na mahusiano
 
niliwaza sana hili tukio na kusoma assumptions nyingi za watu...lakini kiukweli binafsi nilifikiria kiroho kuhusiana na hili tukio...naamini kabisa mhusika aka mfyatuaji risasi ana roho ilikuwa mwilini kwake inamtafuna na chanzo ni historia yake ya nyuma inawezekana kuna mahala kuna shida...
 
Kwani kazi ya bastola au silaha za moto ni nini? si kuua tena kuua watu wala si wanyama? unaongea nini sasa?
 
niliwaza sana hili tukio na kusoma assumptions nyingi za watu...lakini kiukweli binafsi nilifikiria kiroho kuhusiana na hili tukio...naamini kabisa mhusika aka mfyatuaji risasi ana roho ilikuwa mwilini kwake inamtafuna na chanzo ni historia yake ya nyuma inawezekana kuna mahala kuna shida...
 
Pamoja sana mkuu nimekula Sana manuksi nishapoteza zaidi ya milioni 150 kununua ma used sijaambulia hata sent zaidi ya kurudi nyuma.Mimi na kitu kiitwacho used aisee ni maji na mafuta.
 
Hata zile Saudi Arabia anazoua nazo watu kule Yemen zina mambo ya kishirikina?
Vipi kule Afghanistan, Syria, Mozambique, Congo, Sudan, iliyotumika kumshambulia Tundu Lisu, iliyoua Aqwilina?

Hebu tuambie kwanini umeona hiyo silaha ina mambo ya kishirikina
Hii ni elimu ya ulimwengu wa roho yaani ulimwengu usioonekana
 
Muwe mnasoma na kuelewa kilichoandikwa, Nimeandika mada hii kwa mtazamo wa kiroho.. Wanaoona ni tukio la kawaida wasione ni kituko kuwaza tofauti na wao..!
True hata Neema Kumuuwa kijana wa saluni ni mambo ya kiroho zaidi.Yaani roho mauti inamfaa mtu na mtu huyo uenda kuuwa kwa faida ya roho hio ya mauti iliyomtuma,thus roho hio ikishamtoka mtu ujutia makosa yake.
 
Pamoja sana mkuu nimekula Sana manuksi nishapoteza zaidi ya milioni 150 kununua ma used sijaambulia hata sent zaidi ya kurudi nyuma.Mimi na kitu kiitwacho used aisee ni maji na mafuta.
Hasa hizi gari za biashara hizi ni mbaya sana.. Unanunua daladala kwa mtu kumbe limeshafanyiwa mazindiko na makafara ya kutosha..
Roho yake haitakuacha mpaka ufilisike kabisa
 
hamna kitu hapo cha kujitabiria wala nini.
huyu fala alikua mpenda sifa za kipumbavu
alitaka ajulikane anamiliki mguu wa kuku
ndio maana hata waliomtengenezea cake
wamedecorate kwa bastola sababu wanajua
jamaa yao anamilik na anajivuni kuwa nayo..

mtu wa kujiachia nayo ili kutisha watu
Aisee
 
Back
Top Bottom