Baraza la Mawaziri Limevunjwa! (2008)

ha ha haha hahha haha,

Kikwete ameshindwa kuvunja baraza lake la mawaziri.
Lowasa amejiuzulu na hivyo kusababisha baraza la mawaziri kuvunjwa. In the essence, Kikwete hakuvunja baraza la mawaziri, ninajiandaa kumpa Lowasa hii 84 cents!

Maoni: 70% iende kwa Mwakyembe na timu yake; 30% iende kwa watu waliokataa kumtetea EL
 
Amin msiamini Six New PM na ndie aliyekuwa awe PM. sina mengi nasubiri kesho jina lake litajwe
 
PM will be Mizengo Pinda, Membe is out kwa sababu huko nje ndio kuna mfaa....

Lakini Ramli yangu inanionyesha kwa mbali majina haya...
1. Deogratius Kamala.
2. Jumanne Maghembe
3. Stephen Wasira
4. Prof. Mark Mwandosya
5. Capt. George Mkuchika
6. Prof. Msolla
7. Andrew Chenge


But remember this time JK lazima atawasikiliza marais na mawaziri wakuu wastaafu!!!
 
PM will be Mizengo Pinda, Membe is out kwa sababu huko nje ndio kuna mfaa....

Lakini Ramli yangu inanionyesha kwa mbali majina haya...
1. Deogratius Kamala.
2. Jumanne Maghembe
3. Stephen Wasira
4. Prof. Mark Mwandosya
5. Capt. George Mkuchika
6. Prof. Msolla

Mhh,

hakuna mwanamke hata mmoja?!
 
Mugo"The Great";137410 said:
Maoni: 70% iende kwa Mwakyembe na timu yake; 30% iende kwa watu waliokataa kumtetea EL

Asante kwa ushauri mzuri! Mwakyembe bado anaugomvi na mimi kwa madongo niliyompa alivyoanza usanii na hajibu email zangu kwa hasira zake.... nitamtuma michuzi ampatie tu zawadi yake!..... kwi kwi kwi ....... hongera Mwakyembe.....lol
 
Nahisi Dr. Mwakyembe atakuwa naibu waziri kama njia ya kuonyesha wamefurahia kazi yake kumbe ni kumpooza.
M-Tz,angalau tutakuwa na mtu 'Mpya' na 'Safi' bungeni/wizarani,If and that is a Big IF,akichaguliwa basi atawajibika tu,anajua waTz.wanazo Darubini mkononi.
M-Tz,I don't suppose i'm too Presumptuous,but do you think Mr.Pombe will make a Good PM?, will he overshadow the Prez?whats your view?
 
Kipanya huyo
 

Attachments

  • KipanyaHachelewi.jpg
    KipanyaHachelewi.jpg
    5.9 KB · Views: 68
Huyu si ndiye ambaye ambaye Mzee wa Standard and Speed alimwambia asikurupuke? jee ndio tabia yake?

Anna Makinda Hawezi, aendelee na kufanya uenyekiti na unaibu spika wake.!!!!Nimejaribu kumwona Nagu doesn;t fit...

Ni kwa bahati mbaya kwamba baada ya marehemu Mbatia sioni mwanamke mwingine!!!
 
New PM most probably Anna Makinda.

Somehow anafaa, lakini Sitta alimshushia hadhi hapa majuzi. Tukiongelea kuwa na Pm mwanamama nadhani huyu ana uzoefu wa kutosha, kwani kawa bungeni nadhani kwa awamu zote!

Basil Mramba is our next PM! mwaka huu mtakula sana nyasi nyie wadanganyika!

Mzee kama huna cha kuchangia ni bora kusoma tu maoni ya wenzako! Huyu ndiye kachangia kuifikisha ATCL hapo ICU ilipo sasa, na ndiye aliyenunua ile ndege ya raisi ambayo tuliipigia kelele sana

Amin msiamini Six New PM na ndie aliyekuwa awe PM. sina mengi nasubiri kesho jina lake litajwe

Sio rahisi namna hiyo (kwa maoni yangu). Huyu kadharaulika kwa kushindwa kusimamia bunge kwa uadilifu na kulitukanisha, hadi kusababisha wabunge na mawaziri wazomewe mitaani. Ndiye chanzo kikuu cha kuficha uozo wote wa nchi hii. Hakika hafai hata kuwa diwani wa kata yoyote ile, achilia mbali ubunge na uwaziri mkuu! Kawaburuza mno wabunge!

Basi mimi naona ni EMMANUEL NCHIMBI. Hapo vipi?

Mh! huyu naye alichafuliwa sna na kashfa ya Mhe Chifupa (RIP) na ana mawaa sana. May be!
 
huu unaitwa Uswahili... wenye msingi wa kuchonganisha...Kimsingi ile mada ya Waziri Mkuu isimame peke yake, ile ya mawaziri wengine kujiuzulu na hii ziunganishwe..
Na hii isimame kivyake, ina maoni tofauti na ile ya mawaziri kujiuzuru.....
 
Next PM atakuwa Rostam Azizi -

Haiwezekani! Nitandaa maandamano kupinga uteuzi wake!. huyu tayari kachafuliwa na kuachwa peupe na ripoti ya kamati teule, iweje tule matapishi?

Maneno ya Mwalimu JKN 'mpinzani atatoka ccm'

Na ni mwalimu huyu huyu aliyesema kwamba Lowassa hakuwa msafi mwaka 1995! Iweje ninyi mumuone msafi miaka kumi baadaye? Sasa ndio tunaamini kauli za hayati mwalimu sio?

Lowassa Baba Aliye Kuchimlimicha Ndio Atakuchilumua

Ni kweli kwamba JF tuko huru "Kusema lolote", lakini hapa nimetoka kapa kabisa! Mkuu naomba unifafanilie hicho Kigagagigikoko, nimeachwa nje ya mada kabisa, sijaelewa ulichochangia katika kuendeleza mada hii, huenda kuna pointi ya muhimu sana hapo. Kama kuna mwingine kaelewa naomba anieleweshe!
 
Katiba inasemaje Kama PM akijiuzuru?Je ni lazima Rais auvunje Balaza la mawaziri? au ?
WANAOJUA TUELIMISHE!!!!
 
Inaonekana kama Jk ana imani na wasomi kwa kiasi flani. trends zinaonyesha amewapa nafasi za juu za kisiasa watu wengi wenye elimu ya juu. Ni ngumu kujua nani atakuwa PM lakini naweza kutabiri kuwa this time ataibuka na mtu mwenye atleast PHD.
 
Kwa mujibu wa katiba Waziri Mkuu akijiuzulu baraza la mawaziri ni lazima livunjwe.Logic ni kwamba Rais anachagua mawaziri kwa kushauriana na Waziri Mkuu, kwa hiyo kama Waziri Mkuu aliyemshauri rais kuchagua mawaziri amejiuzulu basi na timu yake yote inabidi ipangwe upya kwa ushauri wa Waziri Mkuu Mpya.In theory at least.
 
Yeah!....ni utaratibu unaotumika nchi nyingi. Bila shaka Pundit kaeleza vizuri zaidi.
 
Kama hii issue yote hakuwa na personal interest kuwachafua watu basi Kikwete anakuwa maarufu next to Nyerere katika historia ya nchi hii.

Atapata umaarufu wa kiwango hicho iwapo mafisadi wote watafika mbele ya vyombo vya sheria,kesi kuendeshwa kwa uwazi,haki kutolewa na mali zote zilizoibwa kurejeshwa.

Tofauti na hapo atapata PONGEZI IKIFUATIWA NA LAKINI...KWA NINI...?.Umaarufu wa kununua magazeti au wa baadhi ya wanahabari kujipendekeza huo ataendelea kuupata.Kwa sasa tunashukuru kwa hiyo hatua moja lakini tunategemea aende hatua nyingi tu zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom