Baraza la Mawaziri Limevunjwa! (2008)

Leo unamponda pombe magufuli

Siku Zote Binadamu Hamuwezi Fanana Fikra Na Mitazamo , Ukisoma Vizuri Post Ya Mkuu Hapo Kasema Kuwa JPM Yuko Vizuri Kwenye Utendaji Ila Akawa Na Mashaka Kuhusu VISION Ya Magufuri...

Sasa Kama Anamponda Sasa Hivi May Be Anamponda Si Tu Kwa Sababu Sio Mtendaji Bali Anamponda Kwa Sababu Hana VISION..

Swali Langu:- Je Rais John Pombe Joseph Magufuli Ni Rais Nzuri Kwa Sababu Ana Vision Nzuri Au Kwa Sababu Ni Mtendaji Nzuri????
 
Leo unamponda pombe magufuli
Mkuu, sijamponda hata siku moja .......... naamini ni mtendaji mzuri na anasimamia anachokiamini. Personally, sifungamani na upande wowote kwenye siasa za Tanzania. Najaribu kukosoa tu ninapoona hakuko sawa!!

Hiyo ilikuwa 2008 na niliona potential kwake tofauti na watu wengi wakati ule. Kitu ambacho anatakiwa kuimprove ni kwenye monopoly ya power. Kwa kweli hapa naona kaamua kucentralise kila kitu kiasi kwamba it's all about him. Uongozi wa nchi ni collective actions. Kufanya peke yako kwa nchi kubwa kama TZ haiwezekani ......... labda ingekuwa Seychelles yenye population ya chini ya laki moja!!
 
Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom