Barabara kutoka Cairo Misiri hadi capetown Afrika Kusini, hapa Tanzania inakatisha mikoa ipi?

Tanzania
Mbeya, iringa, dodoma, arusha

The Cairo-Cape Town road begins from the port of Alexandria on the Mediterranean Sea, passing through Cairo to Sudan, South Sudan, Ethiopia, Tanzania, Kenya, Zambia, and all the way to South Africa.
 
Tanzania
Mbeya, iringa, dodoma.

The Cairo-Cape Town road begins from the port of Alexandria on the Mediterranean Sea, passing through Cairo to Sudan, South Sudan, Ethiopia, Tanzania, Kenya, Zambia, and all the way to South Africa.
Kwahiyo ikifika mpaka wa Kenya/Uganda itapaa hewani ije kutua Dodoma.


Hivi mnapoandika huwa mna consider geography au mnaandika tu.?
 
Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine.
View attachment 2935801

Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
Ni kama hii hapa! Watu wanasema inapitia Dar kwenda kufanya nini huko?
 

Attachments

  • Screenshot_20240316-072921_Chrome.jpg
    Screenshot_20240316-072921_Chrome.jpg
    361.4 KB · Views: 4
Kuna watu wanapenda Road trips mkuu, sio kila mtu akipata nafasi ya kusafiri anataka kupanda ndege.
Sawa kabisa,
Huwa nakaa kwenye Bus tu masaa 24.mle ndani kuna umeme,wifi,choo,
Safari hiyo kwa ndege ni masaa mawili tu.
Ila mle nakua nimefanya kazi zangu,nimelala kupumzika nimepiga ulabu,safari inaendelea,na huko unaenjoy mazingira sana ya vijijini.
Kuna siku nimeona watu wanakimbia kuchukua barua ilikua porini huko Germany.
Siku ingine tulipita sehemu aisee kule ni paradise.
Ni pazuri yaani wale watu wamejitenga kabisa.
Niliona tu nyumba nzuri sana,nature green,sikuona watu wala magari.
Nchi za watu huko sio bongo.
 
Inaitwaga C2C (Cairo to Capetown), sidhani kama inapitia Dsm, kwa Tz inapitia Dom
Mkuu Dodoma ipo katikati ya Tanzania, inaingilia mpaka gani na kutokea mpaka gani? Hayo ndio yatakuwa maelezo sahihi.
 
Kwa hapa tz inatokea Kenya kupitia border ya Namanga Arusha Kisha Babati kondoa dodoma then iringa Mbeya tunduma etc etc
Atleast wewe unajua jiografia ya nchi hii. Kuna mwingine humu anasema itapitia Dar😡 . Sijui inapitia Dar kutokea mpaka gani?
 
Ndege zipo; meli zipo; why barabara au reli ambazo ni hatarishi? Hapo Sudan utapita? Ethiopia?

Nchi zote maporini kuna kila aina ya vikwazo including hali za hewa za kila namna, machafuko, nk. I don't buy that idea!
Punguza kuwa mbumbumbu,Watalii wengi sana wanapenda adventures ya kusafiri Kwa gari au treni achilia mbali hao wa specific points.

Binafsi napenda gari au treni ndio maana ukipanda Sgr hufaidi kama ukipanda TAZARA
 
Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine.
View attachment 2935801

Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
Barabara Original ni hii hapa 👇
Screenshot_20240316-090551.jpg


Kwa Tanzania inapita Mikoa ya Songwe,Mbeya,Njombe,Dodoma,Manyara,Arusha.
Screenshot_20240316-085727.jpg


Hata hivyo unaweza ifikia Cairo Kwa njia tofauti na hiyo Original ambayo inazunguka sana.

Unaweza tumia Barabara zifuatazo.

1.Lusaka,Kasama, Sumbawanga,Uvinza,Mutukula,Kampala,Gulu,Juba Hadi Cairo
Screenshot_20240316-090701.jpg


2.Tunduma,Mbeya,Rungwa,Tabora,Nzega,Simiyu,Mara,Kisumu,Lokichor,Juba,Khatoum,Cairo .
Screenshot_20240316-090311.jpg
 
Back
Top Bottom