Balali yuko HAI - He is not dead

Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK

bila source = crap
 
sasa wakuu itakuwaje kuhusu zile bilion kadhaa kama mheshimiwa yupo hai au ndo hizo analia bata :confused2:
 
Duh! kwa wabongo mbona issue ndogo, atakuwa hapa hapa Dar.
 
Unajua sisiem ni zaidi ya chama cha siasa, ndo maana utakuta mtu kama Rostam yupo tayari kuwekeza mabilioni ilimradi hicho chama kiendelee kukaa madarakani.

Acha uongo, nani kakuambia zaidi ya chama cha siasa! hamna kitu pale ni kama kuogopa jeneza tu kumbe ndani mtu kaoza.
 
Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK

Acha ku-divert attention ya suala la Arusha kwa mambo ya udaku. Inawezekana wewe umetumwa na mafisadi akina j.. Na RA. Pum/?@w zako.
 
Tumuache tu CCM ilisha tuchezea mchezo na tukaukubali basi sasa.
 
Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK

Nasubiri ukirudi, naamini utakuja na ushahidi!
 
Unajua sisiem ni zaidi ya chama cha siasa, ndo maana utakuta mtu kama Rostam yupo tayari kuwekeza mabilioni ilimradi hicho chama kiendelee kukaa madarakani.

sisiem sio chama ni business entity na siku zote inawaza kumaximize profit.
 
Duuuu....! shamba lake Baamoyo lipo karibu na langu na nilishaanza kuchakachua mipaka.... nimekwishaaaa......
 
No doubt about it, yupo kama kawa anakamua tu. Subirini wikileaks iwaleteee habari kamili!
 
Kwani Balali angekuwa amekufa usingeweza hata kuona picha ya jeneza lake? Au hata picha za mazishi? Kama watu maarufu na wewe uwezo mkubwa wa kufanya siri wanafanya mambo yao kwa siri yanaonekana itakuwa Balali na Tanzania??

Huu ni usanii tu tena sasa huko wanakoelekea ni kwenye usanii kama wa wacheza drafi, maneno mengi

hawa ni bure kabisa, hakuna kitu hapo. Mwisho wao ndo umekaribika
 
Hakika CCM sijui itawaambia nini Watanzania ambao kwa nyakati hii hawanganyiki kuhusu FISADI anayekula kuku kwa mrija haya wakati Watanzania wanateseka hv,kuna tetesi ya kwamba yule Profesa wa chuo kikuu aliyeuwawa na majambazi akiingia nyumbani kwake akitokea ktk shughuli zake,,,nasikitika kupata tetesi ya kwamba alionana na huyo Fisadi uso kwa uso huko majuu na ndiyo Balali akawahabarisha Mafisadi wenzake na ndiyo wakammaliza mshikaji wakijua mambo yataharibaka huku

hata mie kwa asilimia kubwa naamini ule ulikuwa ni usanii lkn huyo prof alimtambuaje wakati amebadilishwa kuwa mhindi au hiyo habari ya kuwa mhindi asilimia 95 ni porojo?
 
Sheria ya kuzika mtu marekani ni mpaka awe mmarekani. Je balali alizikwa wapi na nani aliwakilisha BOT kwenye maziko ya Govana?
 
Mbona tuliaminishwa kuwa amekufa jamani usanii huu mpaka lini?

Do not believe anyone with CCM influence. Hata wakikuambia kuna taarifa za kiintelijensia don't ever believe them. Inteligensia inatumika kuiba pesa za EPA, MEREMETA, RICHMOND, DOWANS, kupora haki za wananchi wasiandamane na kupinga uvunjifu wa sheria.....etc.

...and don't say i didn't warm you!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom