Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 274
naomba mungu anipe maisha marefu nishuhudie hii sinema ya ufufuo wa Balali.
Tunamwomba huyo mbunge adai uthibitisho wa kifo cha Balali, na OsamaLeo asubuhi katika kipindi cha maswali na majibu mbunge mmoja (wa ccm simjui jina) kaitaka serikali itoe uthibitisho wa vidoe kama kweli balali amekufa.
Katika majibu yake naibu waziri wa fedha akasema taarifa alizonazo kutoka ubalozi wa tanzania u.s.a; balali amekufa na hivyo amekufa na mambo yake.
Tunamwomba huyo mbunge adai uthibitisho wa kifo cha Balali, na Osama
Sasa Osama hata ukifaham alipo itakusaidia nini wewe mdanganyika. Acha ushabiki wa kijinga, tunaemuhitaji wabongo ni Balali, full stop.
Hiki ni kitendawili sijuwi wakukiteguwa nimeishiwa nguvu kauli ya sipika mweshimiwa makinda kwa kauli yake alipo sema (akija watokeya usiku) bado sijamsoma aliamanisha nini aliitowa hii kauli alipo maliza wazili kujibu ingawa naye alijibu kwa kujikanyaga kanyagaLeo asubuhi katika kipindi cha maswali na majibu mbunge mmoja (wa ccm simjui jina) kaitaka serikali itoe uthibitisho wa vidoe kama kweli balali amekufa.Katika majibu yake naibu waziri wa fedha akasema taarifa alizonazo kutoka ubalozi wa tanzania u.s.a; balali amekufa na hivyo amekufa na mambo yake.