Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.

Small Boy

Senior Member
Jul 12, 2007
142
38
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.

Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.

Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
 
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

Mhuu!mengi yatasemwa!RIP Daudi Balali
 
Duh! madogo haya.
Ushakuwa white toka black, ukapata nywele ya india cjui kwa kuvaa wigi au... kisha una private and state security yote hiyo. Ya nini tena upite vichochoroni!

Ni mawazo tu!
 
Wanajamii nimepata tetesi kuwa dr balali aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tanzania haijulikani alipozikwa na hata ndugu zake hawakuudhuria mazishi yake wala serikali haikutuma mwakilishi nataka kujua kama alizikwa au ilikuwaje?
 
Kajificha mahali anakula kuku zake kwa mrija. Hakuna ushahidi wowote wa kuonyesha kwamba alikufa.
 
Wanajamii nimepata tetesi kuwa dr balali aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tanzania haijulikani alipozikwa na hata ndugu zake hawakuudhuria mazishi yake wala serikali haikutuma mwakilishi nataka kujua kama alizikwa au ilikuwaje?
Nasikia Dr Balali ni mzima wa afya anaendelea na maisha yake kama kawa. Isingekuwa rahisi kuona kaburi la mtu aliye hai.
 
Wanajamii nimepata tetesi kuwa dr balali aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tanzania haijulikani alipozikwa na hata ndugu zake hawakuudhuria mazishi yake wala serikali haikutuma mwakilishi nataka kujua kama alizikwa au ilikuwaje?

Ukweli ni kuwa kwa tuhuma alizokuwa ameibua Dr. Slaa ambao ndizo zilizompandisha chat, balali hakuwa na namna ya kufanya isipokuwa kujisingizia kuwa amekufa ili kuondoa mawazo ya watz kuendelea kumsakama eti arejeshwe nchini ili ashtakiwe. na ilikuwa endapo angerudishwa na kushtakiwa, vigogo kadhaa wangekuwa hatiani ambao ndo wale mafisadi papa na JK na Mkapa. So it was a fix to Tanzanians
 
Wadanganyika walivyo wepesi kusahau, wameshasahau tu mambo ya ufisadi uliofanywa na Balali na wenzake, baadhi yao wataipigia kura CCM iliyowakumbatia hao majambazi!
 
Acheni habari za Balali. If is still alive ataonekana tu. Otherwise tuendelee kuamini kuwa alikufa na si msukule kama mnavyotaka kutuaminisha.
 
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

"I have the thermometer in my mouth and I am listening to it all the time.".......
 
yeah sure... hajafa tena wamemfanyia surgery na amekua mwanamke wa kichina... wadanganyika tunalo kwelii!!!:A S 13:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom