Hakika CCM sijui itawaambia nini Watanzania ambao kwa nyakati hii hawanganyiki kuhusu FISADI anayekula kuku kwa mrija haya wakati Watanzania wanateseka hv,kuna tetesi ya kwamba yule Profesa wa chuo kikuu aliyeuwawa na majambazi akiingia nyumbani kwake akitokea ktk shughuli zake,,,nasikitika kupata tetesi ya kwamba alionana na huyo Fisadi uso kwa uso huko majuu na ndiyo Balali akawahabarisha Mafisadi wenzake na ndiyo wakammaliza mshikaji wakijua mambo yataharibaka huku
News from TBC
Rweye, nadhani jamaa ana problem ya insanity, he is sane hivyo asemehewe, hajui atendalo. Sio kila kichaa lazima aokote makopoi!.Ukisikia habari go about it deeply then tell the story to people,wewe mbona unatuonjesha mkuu..
News from TBC