Wanajamii nimepata tetesi kuwa dr balali aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tanzania haijulikani alipozikwa na hata ndugu zake hawakuudhuria mazishi yake wala serikali haikutuma mwakilishi nataka kujua kama alizikwa au ilikuwaje?
Hivi kujadili hili litaondoa nafasi ya kujadili katiba? SiriKali I mean serikali inawajibu wa kuuhakikishia uma kama haya madai ni ya ukweli au la. Mimi nilisikia kuwa yuko UK, na kuna MTZ mhadhili wa UDSM alimwona wakatambuana, kilichofuata aliporudi nyumbani ilikuwa ni mauti yake. Kweli tukae kimya?Achana na Balali, Daini katiba kwanza, Balali baadae
Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK
wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi ccm na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa gavana wa benki kuu yaani balali yupo na anakula bata sweden.. I will come back