Balali yuko HAI - He is not dead

Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Hivi kweli watu wanashindwa kama ni kweli yupo Sweden (ku-hire Private Eye) ili achunguze? nchi za wenzetu sio kama Bongo unaweza ukatrack viza na kila kitu kuona kama jamaa ana identity ya Kugushi...... Tena ni kwamba baada ya kupata hizi evidences unaweza tengeneza Movie ambayo utauzia vyombo vya habari na kupata pesa lukuki.....
 
Sikuwahi kuamini kuwa Bilal ni marehemu, usanii ulionekana wazi wazi. Msiba gani wanachaguliwa watu wa kuudhulia ibada ya mazishi?
 
Hao bata anakula bila amani,its useless..........na bado,kuzimu inamsubiri ye na wezi wenzie.mi hata sishangai,kwa changa la macho nilioishapigwa mpaka sasa.....am getting used.......ukimuona mpige kibao kwa niaba yangu.
 
Mbona hujarudi hadi leo? Au Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wamekubamba?
 
Kama Kweli kuna mtu anatetesi za Whereabouts zake its easy Tupitishe Mchango na kupata Private Detective.... tupate information, am sure our money will be returned baada ya kutengeneza Movie na kuiuza... kama kuna mtu atakusanya michango I will be interested in this business venture
 
Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK

sasa wewe unasema habari za kuaminika halafu hutoi ushahidi wa kuaminika? tumechoka na hizo pumba zenu bana!
 
Hapa juzi tuliambiwa kaja Dar kupitia Zenji, na amegeuzwa kuwa mhindi kwa 95%...
 
Hapa juzi tuliambiwa kaja Dar kupitia Zenji, na amegeuzwa kuwa mhindi kwa 95%...

Unajua mimi am looking as this as a Business Opportunity.... Kama kweli kuna some leads..... shida ipo wapi lets hire someone na kufuata hizo leads kama mwisho wa siku basi tutashusha CD na kuhakikishia watu kwamba huyu jamaa amekufa.... hii Movie itauza sana Bongo.. na kumaliza kiu ya wengi kutaka kujua ukweli...... Nchi za nje mambo yanakwenda kwa Data huwezi kujificha... unless upo Mexico au TIMBUKTU

TENA HAPA HATUHITAJI HATA MWANDISHI WA HABARI NI KUMUAJIRI MPELELEZI TU....
 
Hakika CCM sijui itawaambia nini Watanzania ambao kwa nyakati hii hawanganyiki kuhusu FISADI anayekula kuku kwa mrija haya wakati Watanzania wanateseka hv,kuna tetesi ya kwamba yule Profesa wa chuo kikuu aliyeuwawa na majambazi akiingia nyumbani kwake akitokea ktk shughuli zake,,,nasikitika kupata tetesi ya kwamba alionana na huyo Fisadi uso kwa uso huko majuu na ndiyo Balali akawahabarisha Mafisadi wenzake na ndiyo wakammaliza mshikaji wakijua mambo yataharibaka huku
 
Du!!! aiseee????????????? watu wanafikiri wataishi duniani milele??? Mona na wenyewe watakufa tu tena siku na saa wasiyoijua!!! HAWA MAFISADI WANAHITAJI KUKUMBUSHWA KUWA MUNGU YUPO maana inaelekea wamesahau kabisaaaa!!!
 
wacha kua hai atarudi TANGANYIKA na atagombea ubunge, atanyanyuliwa mkono na kumbiwa ni mtu safi alikua peponi amerudi, nawaomba wadangayika wenzangu mumpe kura na mtasema ndiyo.:A S 465::sleep:
 
Loh ngoja nimtafute kwenye skype naweza kumpata. CCM inabidi ife ili roho zetu zitulie. Kikwete aachie Madaraka kabla ya 2015. Tumemchoka nakaa kimya sijui anaogopa nini... Inabidi tuongee na wataalam wamchukue awe Msukule mahali ili uchaguzu urudiwe tupate President Mwingine. Sijui tuongee na Pinda aongee na watu wa Sumbawanga au Zitto kabwe ili tumpaki Kigoma kwanza.
 
mm naona hajafa na itakuwa ni aibu sana atakapokufa kweli hii ni syndicate kali sana km atagombea ubunge 2015

Atakufa tena ndio lakini atakua sio balali, atakua amebadilisha I identity na hata sura, so inakua ngumu kujua. Usikute anakuja sana hapa bongo ila ndo huwe name an face changed.
 
Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK

Aisee, hivi!!! Alikuwa anaabudu/ anaabudu dini na dhehebu gani?
 
Mbona tuliaminishwa kuwa amekufa jamani usanii huu mpaka lini?

Nyie si walewale vilaza mnaodhani ccm ndiye mungu wenu... you swallow every garbage ccm and its cohorts dish out to you line, hook and sinker!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom