VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,900
- 581
Hiyo ndo mboga yenyewe ambayo mapacha watatu wamedhamiria kuimwaga.
kama ni kweli basi jk bora hapate ujasiri wa kuwavua gamba ili na sisi tufaidi ya ndani
Hiyo ndo mboga yenyewe ambayo mapacha watatu wamedhamiria kuimwaga.
kuna tetesi hili fisadi lipo na limetulia,tunaomba tufanyie kazi hilo
Hapana jamani tusi-fabricate stories Dk Balali (bila shaka) ni marehemu, ila ni kweli lazima umma wa watanzania upate uthibitisho.
Otherwise, itakula kwa JK na chama chake.
Mimi toka walete habari za kifo chake ile 2007/2008 nilijua ni uongo, toka kipindi kile nilijua watanzania tunadanganywa. Sijui logic ya kudanganywa kwetu ni ipi bt ukweli twadanganywa.. Mkuu wa kaya kadanganya wanafamilia, katudanganya sisi.. Ni jambo la kustaajabisha na kufedhehesha bt tumeisha danganywa tayari. Anyway haya mambo yatakwisha, ukweli utajulikana pia! MUNGU WABARIKI WANANCHI WA TANZANIA MASIKINI.Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK
Lipo kwenye katiba?suala la BALALI halina tofauti na suala la zanzibar ni nchi au sio nchi