Thomas Odera
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 673
- 155
Hili la Balali maadam tulishatangaziwa ya kuwa amefariki na amezikwa huko Marekani, tuliache maana hata suala la Sokoine lilikuwa na uzushi wa namna hiyo
Nipeipenda. Japo nimeshanga! Kuona everthing bad anahusishwa mkulu. Sijui kama ndo maana ya ukubwa jalala.suala la BALALI halina tofauti na suala la zanzibar ni nchi au sio nchi
Unachekeshwa na nini? Acha kunitoa udenda we mrembo!Wakati wanaojidai wapiganaji wanaongea siasa, unajiuliza hivi hawa wapigani au wapiga porojo? Si makosa yenu ni Jumamosi leo. Mnanchekesha.
Kwahiyo anayetoa Amri ya Kuua Ni yule aliyepigiwa Simu ya Mkonga? Dah! siri huwa sio ya watu wawili
Ndio maana Rost Azi anatawatesa sana,nasikia yeye ndo alitoa concept ya jamaa kifichwa na kuutangazia umma kwa kafa. Juz alimpa mashart wa kaya kuwa asipolipwa hela yake ya dowans atataja kila sirI ya chama na serikali.