Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
- Thread starter
- #81
Hivi mumemuelewa Mkjj? Someni katikati ya mistari yake mtaona anachomaanisha ni nini
asiyejua maana haambiwi maana... !
Hivi mumemuelewa Mkjj? Someni katikati ya mistari yake mtaona anachomaanisha ni nini
Mtanganyika, kama yuko hai kwanini usilete picha, kutuambia nyumba alipo au kama alivyofanya chenge tumsikie sauti yake? Mtafutieni gazeti la leo leo apige nalo picha halafu mnitumie mwanakijijiatklhnews.com
I still stand on the original story ni mfu tu ambaye hasikiki, haonekani, na hajulikani alipo. The burden of proof is on him to show that he is alive. Otherwise, ushahidi wote wa kimazingira unaonesha kuwa alishatutoka. Serikali inawezekana inajua hilo na haijui ianzie wapi kuwaambia watanzania.
Mimi siwezi kupata picha kwa sababu naamini jamaa hayupo tena; ila yule anayeamini kuwa bado yupo hai ndio anatakiwa alete picha..
Kwani hatuwezi kupata private investigator?
Marekani hii wakuu!
Theare is no need private investigator. Serikali ya Kikwete inajua fika Balali whereas about. Kumbukeni nilishawahi kusema humu kuwa Janja ya serikali ni kukaa kimya ili moto upoe. Said Mwema alikuwa Interpol. akiwapa jina tu. within 24 hrs wanae. is very easy ku mtrack down Lakini wanajua Balali ni scap goat wa Wote waliojuu saSA NA WALIOPITA. Lakini wajue kuwa tumeng'amua janja yao.
Hapa marekani mambo hayaendi hivyo!Mimi nimekubali sasa kuwa Balali tayari hatunaye tena siku ya tatu sasa hajatokea. SAsa tunataka nini tena? Kaisha tutoka kesho katumeni salamu za rambi rambi.
Hapa marekani mambo hayaendi hivyo!
Unless there's something we dont know! Kama vile kisingizio cha kwamba maisha yake yako hatarini!
But we will find out!
Labda nikuulize, hao watoto wao wanajisikiaje wakati baba yao ndio herufi I kwenye neno FISADI, we need him to get the meaning of the whole word.
Can you lobby them wamchimbe baba yao aongee kuhusu ukweli wa EPA and JK. Sababu tukipata huu ukweli kwa maneno yake mwenye Balali, i promise you Jaji mkuu ataongoza nchi, then we will start all over again. Tanzania will be kama December 9, 1961.
Please walobby hao watoto watupatie statement kutoka kwa baba yao, kuhusu ONLY EPA and JK campaign ya uraisi.
Honest sishauri Balali arudi Tanzania, because sisi public ndio msaada wetu. Yaani Balali ndio muokozi wetu. So, plz waombe wamchimbe baba yao atupe data, then hapa hapa JamiiForum tutafunga unend episode za hii nightmare.
Ninachoweza kusema according to mwanafamilia mmoja...ni kuwa Balali mwenyewe alivyofika US aliwaambia kuwa JK na serikali yake wame/wanamtoa yeye kama kafara.
Again naomba niwe tight lipped kwenye haya maswala ya what his kids think about the whole thing.
Balali lina kula kuku wake Argentina,hajafa wala nini,mmelala sana wabongo.
Its so annoying kusoma speculations kama hizi. Nadhani if they wanted him dead, they would have done so longtime ago. Na kama kweli amekufa, nadhani hata hao tunaoambiwa wanarudisha fedha kidogo kidogo wasingekuwa wanafanya hivyo maana shahidi mkuu kwenye kesi yao hayupo tena.
Nina kila sababu ya kuamini kwamba Balali yuko hai, ndio maana bado matumbo ya watu ni joto.